Uwanja Mmiliki wake anafanya biashara jengeni viwanja vyenu kama zilivyo timu za huko majuu mnapofananisha then tuone kama fiesta iwafuata kwenye hivyo viwanja vyenu....mbona hatujawai kusikia tamasha ama fiesta uwanja wa azam
Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya nguzo katika mpira ni idara ya ufundi maana hii ndio inatoa directions yote ya Mpira wetu ili uendelee unapaswa kupitia program zipi, kuanzia za copa coca cola zile zinazohusu vijana pia wao ndio co ordinator wa mashindano yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijakuuliza masomo yanaanza lini ,uongo wako wa kusema chuo cha Mipango kituo cha Mwanza wanatoa degree wakati sio huo ni upuuzi nakifahamu vyema chuo cha Mipango na nimefanya nao kazi sana....hakuna degree programe inayotolewa kituo cha Mwanza, kiufupi Chuo cha Mipango kina Degree programs...
Kumbe we ni poyoyo aisee yaani hata tangazo umeshindwa kulisoma a linaonyesha mwaka wa masomo 2017/2018 acha kupotosha watu narudia degree zote za chuo cha Mipango zinatolewa main campus tu Dodoma, kituo cha Mwanza ni Certificate na Diploma tu acha uzwazwa tembelea website ya chuo www.IRDP.ac...
Hilo ni Tangazo la Chuo Cha Mipango Mwaka huu Kituo cha Kanda ya Ziwa nionyeshe wapi wameonyesha wanatoa Degree programe nimekuambia post yako ya kijinga Jinga ya kuja kudanganya watu acha
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamechukua CPA kwa kujisomea sehemu mbovu kabisa na leo wanatambulika kama Certified Public Accountant na wapo katika ngazi kubwa kabisaa eti majengo ndio yazuie ubora wa elimu??tena elimu ya juu??unataka kila chuo kiwe na Hostel??yaani chuo wasifililie kuajiri walimu na wataalamu wa...
Then ni upuuzi eti kutokua na Hostel khaa UDSM yenyewe hostel haziwatoshi na chuo kimeanzishwa enzi za mkoloni huko...Chuo sio Hostel inaonekana ni kile kizazi cha UDOM kinachozani elimu ni majengo huku kichwani wakiwa zero
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo degree programme zote za Chuo cha Mipango zinatolewa main campus Dodoma tu...Mwanza ni Diploma na Certificate
Sent using Jamii Forums mobile app
JM luxury ndio the Best mwendo makini ,confotable ikiwahi kufika shy kabla ya SAA tatu usiku mtalala Mwanza ikichelewa kuanzia SAA NNE mtalala Shinyanga then next day by SAA tatu upo Musoma.
Ana haki maana mkataba na makubaliano ni yeye Mo kumiliki asilimia 51 sasa unaendaje kuingia mkataba wa udhamini kwa miaka 5 bila kumshirikisha?wakati huo kishika uchumba karibu mwaka mzima analipa mishahara ya wachezaji na watumishi more than One B per year,kama akipewa timu na yeye akawekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.