Watanzania bwana, wewe unapinga uwepo wa rasimu ya katiba mpya wakati huohuo umechaguliwa
kwenda kuijadili. Rasimu ni ya katiba ya jamhuri ya muungano halafu wewe unasema hutajadili muungano,
kwa hiyo unaenda kuanzisha rasimu yako na kuanza kuijadili? Nina wasiwasi na waliokupendekeza,
kama...