Ni kweli ila ukianza tutangazia msimamo wako, nasisi tulio upande wa pili, siyo kwamba hata tukikupa maoni yetu itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kwa vile wewe unamsimo wako tayali?
wanajanvi, mungu akipenda basi nitawakilisha bunge la katiba, jina langu ni moja ya majina yaliyopendekezwa na kundi langu kuwakilisha. Hivyo nikiwa kama mwanajf naomba sala zenu na hata ikibidi matambiko ya kimila ili niweze kuingia na kutetea masilahi mapana ya watanzania, niwaahidi tu nikifanikiwa msimamo wangu juu ya muungano utakuwa ni wa serikali 2 huru kwanza na suala la muungano litajadiliwa na nchi husika zikiwa huru na kama itaonekana kuna umuhimu basi tutaungana baadae, hakuna haja ya kulazimisha kuungana kama kuna pande haitaki na ikibidi basi tutaungana na zanzibar katika shirikisho la afrika mashariki zikiwa nchi huru.
Wanajanvi, Mungu akipenda basi nitawakilisha Bunge la Katiba, jina langu ni moja ya majina yaliyopendekezwa na kundi langu kuwakilisha. Hivyo nikiwa kama mwanajf naomba sala zenu na hata ikibidi matambiko ya kimila ili niweze kuingia na kutetea masilahi mapana ya watanzania, niwaahidi tu nikifanikiwa msimamo wangu juu ya Muungano utakuwa ni wa serikali 2 huru kwanza na suala la Muungano litajadiliwa na nchi husika zikiwa huru na kama itaonekana kuna umuhimu basi tutaungana baadae, hakuna haja ya kulazimisha kuungana kama kuna pande haitaki na ikibidi basi tutaungana na Zanzibar katika shirikisho la Afrika mashariki zikiwa nchi huru.
Mkuu hongera sana, mimi ni mmoja wa waliopendekezwa pia, na imani nitapitishwa niisaidie nchi yangu. Inatia imani kuona ninavyoaminika na watu
zinahusiana vipi na kazi hii mpya?