Recent content by Bakebula

  1. Bakebula

    Wamama wajawazito kujifungua kwa gharama ya TZS.150,000/ Hospitali za Serikali. Je, Serikali hii inatupeleka Wapi?

    Nadhani ingekuwa vyema ukaleta na ushahidi kwa hili. Personally, last year mama watoto wangu alienda Kujifungulia kijijini kwetu Mkoani Kagera. Hakutozwa pesa yeyote & plus alikwenda na Delivery Kit binafsi. Walitumia items zao na kurudisha vyake.
  2. Bakebula

    RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Nadhan inabid ifikie hatua tufikirie kabla hatujatoa matamko yetu mbele za watu. Hii hoja ya kusema kuna haja ya 80% wapunguzwe kwnye ajira za serikali na wabaki na 20% ni hoja isiyokuwa na lengo la kutengeneza mazingira rafiki katika jamii. Kiutawala RC na DC ni "ceremonial titles" ambazo mtu...
  3. Bakebula

    Mapokezi ya ndege mpya ya ATCL eneo la Terminal One-JNIA

    Pongezi nyngi kwa Serikali ya awam ya Tano ikiongozwa na JPM kwa uthubutu wa kuzinunua hizo ndege. Private Air companies walizid kwa maringo mno hadi kuweka Sky Cafe ya kulipia wakati umelipa nauli. Ni matumain yngu ndege hzi pindi zitakapoanza kutoa huduma ya usafiri wa anga zitasaidia kukuza...
  4. Bakebula

    Sheria iundwe Rais alipe kodi, kwa wabunge imewezekana

    Obama White House analipa Kodi zote cjui kwa nni bongo haiwezekani.
  5. Bakebula

    Tanzia: Mwanamasumbwi maarufu, Muhammad Ali afariki dunia akiwa na miaka 74

    The Afro American boxing legendary who was well known in 70's for his boxing fighting technique while on ring has died at 74 recently in Arizona after fighting for his health in hospital. He had respiratory problems.
  6. Bakebula

    Tanzia: Mwanamasumbwi maarufu, Muhammad Ali afariki dunia akiwa na miaka 74

    Bondia wa Siku nyingi na Raia wa Marekani, Muhammad Ali amefariki akiwa na umri wa miaka 74 katika hospitali ya Phoenix katika jimbo la Arizona. Chanzo cha kifo chake ni matatizo ya upumuaji uliosababishwa na ugonjwa wa Parkinson. Ugonjwa huo aligunduliwa kuwa nao mwaka 1984. Legend Mohamod Ali...
  7. Bakebula

    Waingereza wairudishia Tanzania zaidi ya bilioni 14

    Well done Zitto Kabwe maana bila kukomaa mjengoni na kufungua ile petition ndo wajanja wangezila kiulaini. Hvi ile timu ya mabadiliko wangeweza???
  8. Bakebula

    Mbunge wa Ilala, Zungu ateuliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge

    Alikuwa mwenyekiti wa bunge lililopita
  9. Bakebula

    Mbunge wa Ilala, Zungu ateuliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge

    Mbunge wa ilala dtarimo
  10. Bakebula

    Mbunge wa Ilala, Zungu ateuliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge

    Muda si mrefu Mbunge wa Jimbo la Ilala, ndugu Musa Hassan Zungu ameteuliwa rasmi na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa tena Mwenyekiti wa Bunge hilo kwa mara ya pili. Ikumbuke Zungu aligombania nafasi ya Naibu Spika ila hakufanikiwa. Updates zinafuatwa..
  11. Bakebula

    Rais kapotoshwa na wasaidizi wake utenguzi wa Kairuki?

    Yanayotekea Leo, Rai iliwah kuyaandika kitambo. Leteni hoja za Mashiko na SI eti JPM (Sankara) kakurupuka.
  12. Bakebula

    Rais Magufuli kafanya uamuzi sahihi. Haikuwa sawa Kairuki kujilipa posho ya TSH 25M kwa mwezi

    Gazeti la Rai, liliwah kuandika kuhusiana na hii habari. Hebu tujikumbushe then tuitafakari kwa kina.
  13. Bakebula

    Naombeni ushauri wa kisheria

    Kama uko Dar na wahitaji MTU atakayefikiria badala yako mahakamani, nimekuchek pm na kwnye CMU yako.
  14. Bakebula

    Naombeni ushauri wa kisheria

    Ni Pm mkuu tuongee zaid
Back
Top Bottom