Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,162
- 100,470
Bingwa wa zamani wa dunia Muhammad Ali (74) amefariki huko Phoenix Arizona muda si mrefu uliopita.
Ali ambaye alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson tangu mwaka 1984, alilazwa hospitali hivi karibuni kwa matatizo ya upumuaji.
Chanzo: CNN
Mapambano bora ya Muhammad Ali
Ali ambaye alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson tangu mwaka 1984, alilazwa hospitali hivi karibuni kwa matatizo ya upumuaji.
Chanzo: CNN
Mapambano bora ya Muhammad Ali