Habari wadau,
Naombeni msaada wa mawazo,
Ninafikiria kuanzisha biashara ya kuuza kuku (hai) katika mkoa wa Dar es salaam. Mfumo niliofikiria kuutumia ni wa kutengeneza banda la nyavu kwaajili ya kuwaweka kuku
1. Je, ni eneo gani linaweza kuwa sahihi kwa kufanyia biashara hii?
2. Ni mambo...
Habari za leo wadau,
Nombeni msaada kwenye hili, nina invetor watt 150, battery (sundar N18) na panel sundar watt 30 na nimetumia waya wa 1.5mm kutokea kwenye sollar panel kuleta umeme kwenye battery. Nimekuwa nikiitumia vizuri kwa kucharge laptop yangu, au simu na kutumia taa 2 (watt 1) bila...
Tupo hapa kwaajili ya kupeana uelewa sio kumjua mwenye akili na asiye na akili, kama sio yeye kuleta hiyo mada ungemfahamu vipi huyo unayesema ana akili??
Waliokataza rambo wanafahamu pia kuna ukwaju, so waachie kazi yao, bongo ukileta uzalendo sana utakufa na njaa zako, lets go fanya unachoweza even if ni haramu mtakutana mbele ya safari huko[emoji51][emoji51][emoji51]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.