bajok Senior Member Joined Jun 6, 2016 Posts 161 Reaction score 72 Jul 18, 2022 #1 Habari wadau, Kwa solar ya wat 30, battery N18, ninaweza kutumia hizi Tv ndogo (12V) ya inch 15 ya sola, pamoja na kingamuzi cha Azam?
Habari wadau, Kwa solar ya wat 30, battery N18, ninaweza kutumia hizi Tv ndogo (12V) ya inch 15 ya sola, pamoja na kingamuzi cha Azam?
MoneyHeist4 JF-Expert Member Joined Jul 10, 2017 Posts 2,139 Reaction score 3,227 Jul 19, 2022 #2 Ndio mkuu, unatumia tena vizuri kabsa.
MC RAS PAROKO JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 621 Reaction score 615 Sep 23, 2022 #3 bajok said: Habari wadau, Kwa solar ya wat 30, battery N18, ninaweza kutumia hizi Tv ndogo (12V) ya inch 15 ya sola, pamoja na kingamuzi cha Azam? Click to expand... TV yako ni watts ngapi?
bajok said: Habari wadau, Kwa solar ya wat 30, battery N18, ninaweza kutumia hizi Tv ndogo (12V) ya inch 15 ya sola, pamoja na kingamuzi cha Azam? Click to expand... TV yako ni watts ngapi?