Recent content by baja86

  1. baja86

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    da asavali
  2. baja86

    Kanichanganya mwenzenu

    kama imetokea kweli it was not fare.maana mandela kasameh wooote ila c mkewe.ikimaanisha mke au mume ni mchungu kuliko jicho.but kama kweli changamoto basi watz tunafeli kwa kupanic haraka.hatufai hata kuwa mawakili au majaji wa dunia.maana unaweza ukakutana na kesi ya ajabu halafu ukaharibu kwa...
  3. baja86

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    shokushuma firafisi.
  4. baja86

    Nyie watanzania ni nani kawaroga mpaka mkumbatie hoja dhaifu za kutaka serikali tatu?

    swala c kuvunja muungano.bali swala ni kukaa na kuangalia nini znz wanataka.tatizo linakuja hapa! a.tra,hv inakuaje mmeshasema muungano halafu mtu atoke znz alipie ushuru halafu akifika dar nao alipie ushuru.sasa kwanini isiwe ukilipia upande mmoja inatosha?ndomana wanaona bora uvunjike! b.kama...
  5. baja86

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kwa kweli jamani bora wenger aondoke.maana tushachoka.yaani kutoka kugombania nafasi ya kwanza mpaka tunagombania ya nne.its acceptable kwa kweli.dawa yake kutumiwa jini tu
  6. baja86

    Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    kwani kuna tabu.j3 si inarudiwa!sasa sijui watasema mafuriko yamehamia pale bamaga???
  7. baja86

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    duh.azam hatimaye anachukua ubingwa safari hii:D
  8. baja86

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    wadau ngapi ngapi huko.na wale wa liverpool nawapa hongera
  9. baja86

    Madhara ya kutumia machine kunyoa sehemu za siri

    duh.sasa kwa wale wenye msitu wa Amazon itakuaje.maana kiwembe lazima kidunde
Back
Top Bottom