DED wa Nzega DC hana shida huyo na wala tabia hizo hana. Mwenye tatzo ni yule TD wa mji anaitwa Philemon Magesa. Huyu jamaa ni kichomi haswaaa. Hafai kabisa.
Kumbe mtu mwenyewe alieandika ni Alphonce Mawazo msukule wa familia ya kifalme ya Tengeru kwa Mtei! Bahati nzuri mi nilikuwepo kwenye mikutano yote. Mbona hayo unayoyasema hayakuwepo? Tofauti na wale vijana wako kama kumi uliokuwa umewaandaa ili walete vurugu lakin wakaogopa kufanya fujo hizo...
hijabu sio vazi la dini fulani ila kila mtu anavaa na ndilo vazi pekee lenye kumsitiri mwanamke vizuri. unapozungumzia hijab unazungumzia wanawake wa kiislaam, je mavazi ya kikristo si ndio hayo yasiyokuwa ya hijab? wakristo wasivae skirt na blause vilevile waislaam wasivae hijab tuone ni nguo...
walipotua kwa chopa yao hawakukuta mtu pale uwanjani mwanga, Huyu min kabaang aache uongo wa wazi. cdm kwa kigoma haina kitu kule na wala hawaihitaji hata kidogo wana kigoma. Muulize hata gari la kuja kuwabeba lilifika muda gani baada ya wao kutua? Mwambie waweke hata picha moja ya mapokezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.