Una kipato kizuri sana hapo jitahidi kila mwezi laki 5 iende kwenye ujenzi mdogo mdogo unatoboa au chukua mkopo benki wa miaka sio zaidi ya mitatu ujenge
Hii biashara naona ni nzuri ,mimi nataka nijipe mwaka mmoja wa kujifunza ufundi kwanza ndio niingize mtaji na Imani ukiwa na wewe ni fundi ni rahisi kupata fundi wa kushinda nae mkagawana riziki
Je kwa mda wa mwaka mmoja nitakuwa sijajua kutengeneza pikikpik kweli ?
Jitahidi pamoja na kujenga nyumba nzuri mkoani Basi dar uwe hata na nyumba ya chumba na sebule ,kumbuka muhimbili ipo dar ,uwanja wa taifa upo dar ,UDSM ipo dar ,mwendokasi upo dar kidimbwi na kitambaa cheupe zipo dar ,na mwamposa pia yupo dar
Yaan dar ndio kila kitu
Lima mkuu naomba nikutie moyo mie Niko kusini huku nimepanda ekari saba tu huu mwaka wa tatu napiga jembe mwenyewe baada ya kutoka kazini ,sina nguvu kama wewe lakini inshallah nataka niongeze ekari 3 mwaka huu ziwe kumi ,huu ni mradi wangu nimeamua kuanza nao kama mpango wa kustaafu kwani Bado...
Hiyo dawa za mseto mie nilitumia tumbo likavimba kama kitenesei nikawa nashindwa mpaka kupumua ikabidi niende hospitali nikachomwa sindano ya kupunguza tumbo kujaa ,mpaka leo nikiumwa malari natumia artequick
Kikubwa ni kufunga CCTV camera pale ili kila kichwa kinarekodiwa na mapato mnagawana kwa asilimia kama kunyoa ni buku jero yake jero ya ofisi ni buku hapo lazima kazi ifanyike
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.