Mungu huwa haondoi karama ya mtu huondoa utukufu wake kwa mtu!!Karama ni zawadi...Mungu amemtunuku karama hiyo ya kichungaji..lakini haimaanishi kwamba hakosei!!!Siyo wote waniitao bwana bwana wataingia mbinguni!!Rejea Sauli mfalme wa kwanza wa israel alipoasi yale aliyomuelekeza Mungu...Neno...
ilimpasa Gwajima kama mtumishi wa Mungu anyamaze kwenye malumbano kama hay yasiyo na tija.Mungu anapendezwa na unyenyekevu,Yeye ilibidi awe mfano kwente ukoo wake sawa na neno linalosema misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?
Kwanza nataka nilusisitizie kuhusu muonekano wako kwa waliochangia unaonekana kimaskini...usije pata tamaa ukaanza vaaa na kufanya vitu juu ya kipato chako utaongeza umaskini zaidi.
Vaa smart....kuwa msafi basi...atakayekupenda amekupenda..Pia kama unaishi uswazi kama Tandika hiyo kawaida...
ukiupenda mchezo huo lazima ujue unafrilt kwa sababu gani?
Kwa funny haitakiwi kuvuka mipaka!!!Sema umekutana na anayejua hako kamchezo kisawa sawa.Jipe muda huwa inaisha!!!
Toka kutajwa kwa wa watumiaji na wauzaji wa madawa ya kulevya kumeibua mambo mengi ikiwemo hili la sasa la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Kuna wengine wanasema ni vita kati ya wanufaika au wauzaji wa madawa ya kulevya na Mkuu wa mko wa Dar es salaam(Paul Makonda).Inawezekana ikawa...
Mtu hakimbii asili.Kuulizana kabila jambo muhimu kwangu na kwa mtazamo wangu.Asili za watu zimejaa mambo mengi ni lazima kujua kabla hamjawa kitu kimoja.
Vijana usasa si kila mahali.
Mtu hakimbii asili.Kuulizana kabila jambo muhimu kwangu na kwa mtazamo wangu.Asili za wath zimejaa mambo mengi ni lazima kujua kabla hamjawa kitu kimoja.
Vijana usasa si kila mahali.
Kiimani una roho ambayo inayokusumbua kufanya hivyo..roho ovu yenye dhambi kwani unachotaka kufanya haufanyi bali wafanya usichokipenda.
"Idle mind is devil workshop"Weka Mind yako busy kufikiri vitu vya maana itakupelekea kufanya vitu vya maana.Ukiweka mwili busy huku mind yako imejaaa kuwaza...
Hayo mambo yapo toka zamani sema yanaonekana dhahiri kutokana na utandawazi.
Ugomvi wa sasa kati ya wazazi unasababishwa na mvutano kati ya ukale na usasa.Wazazi hawataki kuwa na mahusiano ya kirafiki na watoto huku watoto wakitaka kuwa na mahusiano ya kirafiki na wazazi.Wazazi wanapokosolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.