Msaada: Siridhiki kufanya mapenzi

Msaada: Siridhiki kufanya mapenzi

1. Nenda hospital
2. Nenda kawaone wataalam wa Magonjwa ya tabia
 
Wana JF,

Kuna kitu kinanisumbua kwa muda mrefu sasa nimekuwa na tatizo yani nafanya mapenzi kupata kiasi siwezi kumaliza siku mbili hata nikiacha kufanya.

Niko radhi nipige hata punyeto yani nahisi hata nina majini sina raha kuna siku naweza kufanya hata nawanawake 3 tatizo limekuwa sugu siwezi kuwa na girl mmoja hawezi kunvumilia sasa tatizo sijui ni nini.

Naomba msaada jamani litakuwa tatizo gani.
prayerrrs
 
Kiimani una roho ambayo inayokusumbua kufanya hivyo..roho ovu yenye dhambi kwani unachotaka kufanya haufanyi bali wafanya usichokipenda.

"Idle mind is devil workshop"Weka Mind yako busy kufikiri vitu vya maana itakupelekea kufanya vitu vya maana.Ukiweka mwili busy huku mind yako imejaaa kuwaza ngono tatizo lako halitoisha.

Purify your Mind....Kataa mawazo ya punyeto yanapokujia pamoja na utamu wa kufikirika wa ngono.Nauita wa kufikirika kwa sababu huo ndyo unakufanya usiridhike.Huo utamu unaotafuta haupo!!Waweza fanya meditation au tafuta kitabu cha "As the Man thinkenth"

Mwisho..Hakuna cha kukupa furaha duniani..Furaha inaanzia kwako mwenyewe.It begins with you!!!
 
Ukiachana na mambo ya kiimani....
Kuna mkaka nae alikua na tatizo hilo... Sasa yeye ilikua akiniona tu mashine inasimama (no question tafadhali). Ikafika hatua ata akimpakata mtoto anapata hamu saana. Ikabidi aende hospitali akaambiwa kua ni tatizo linawapata wanaume wachache. Kama upungufu wa nguvu za kiume sasa hapo nguvu zinakua zimezidi. Kuna dawa alipewa sasa yuko vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom