Recent content by bahatika

  1. bahatika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Pole sana hapo umeshaliwa huyo dada anapenda pesa zako wewe hakupendi Sent from my SM-N750 using JamiiForums mobile app
  2. bahatika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Dada yangu we bado mdogo sana utaolewa tu, kuna watu wanaolewa mpaka na mika 40, ni kutulia na kujiheshimu na watu wakijua kua uko desparate na kuolewa watakufanyia uhuni. Omba Mungu wa kwako yupo mahali ni kutulia na kujiheshimu
  3. bahatika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JamiiForums imenipatia mke mwema

    Nimewafurahi kwakweli Mungu na awape maisha yenye furaha na amani, na abariki kazi za mikono yeni. Uzao wenu na ubarikiwe
  4. bahatika

    JamiiForums Tanzania Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    Tunashukuru kwa maelezo mazuri
  5. bahatika

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Escrow utaona ya Mwakyembe

    Thia happens only in Tanzania
  6. bahatika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuaje mtu unajiua sababu ya mpenzi?

    Ni shetani anakuwa amewakalia kooni ni kuwafanya wajione hawana thamani tena ya kuishi kwa kitu walichotendewa. Na pia ni kutokukubali hali iliyokutokea na kubaki kujiuliza kwanini isiyo na jibu.
  7. bahatika

    JamiiForums Tanzania Wivu wa Mapenzi: Akatwa kichwa na kisha kuchemshwa katika sufuria kwa kudaiwa kupora mke wa mtu!

    Kwanini unahukumu mwachie Mungu ahukumu mwenyewe namna hii kweli hata wanyama wamekuwa na roho ya binadamu
  8. bahatika

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kinyerezi DSM

    Duh bei nzuri sana hiyo
  9. bahatika

    JamiiForums Tanzania Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

    Nauliza kama kuna dawa yoyote ya kuzuia kukoroma, na nini kinasababisha mtu akorome,
  10. bahatika

    JamiiForums Tanzania Mchezo unaotaka kufanyika NSSF huu hapa

    Hakuna mtu anayeweza kutoa sababu kwanini wameita tena cha msingi kwa wale wasikata tamaa kama mimi tukutane DUCE
  11. bahatika

    JamiiForums Tanzania Mchezo unaotaka kufanyika NSSF huu hapa

    Kumbe wameitwa wote
  12. bahatika

    JamiiForums Tanzania Mchezo unaotaka kufanyika NSSF huu hapa

    Mi ambacho sielewi why second interview
  13. bahatika

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Nikitaka kiwanja changu kiwe na nusu heca nichukue vingapi
  14. bahatika

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    Vya milipn tatu vina ukubwa gani
  15. bahatika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni fedheha mume kulishwa na mkewe

    Inatoka kitabu gani tuhakikishe
Back
Top Bottom