Recent content by Bahati1

  1. B

    Mwigulu Nchemba aivaa CHADEMA na Dr. Slaa

    Wadanganye wasiokujua wewe hajawahii ng,aa kwenye medali ya siasa hata ckumoja hii kuamuru watu wapigwe ndyo kung,aa kisiasa mrudie mungu wewe
  2. B

    Diwani mteule wa CHADEMA Arusha - kata ya Themi ameanza kazi ya kuwatumikia wakazi wa Themi rasmi

    Kaburu shidaaaaaaaaaa jembe hlo anatisha weweeeeeeeeeeer chezea kaburu weweeeeererrrrrrrrr
  3. B

    Je huu si upotoshaji wa Bw.Bulembo?

    Huyu gamba amedata atafute kazi yakufanya huyo chadema juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  4. B

    Tuombeeni taifa letu

    Jamani narudia tena tuombeeni nchi yetu inaelekea pabaya mabomu mabomu jmni hapa sio misri jmni
  5. B

    Tuombeeni taifa letu

    Taifa letu linaporomoka tuombeeni jmni wana jf g9t
  6. B

    Airtel yatosha wezi wakubwa

    Peoplezz arusha ndyo mapambano yanaanza
  7. B

    Wassira Live ITV

    Huyo mhhhhhhhhhhh
  8. B

    Mwanza: Meya Henry Matata atishia kumuua Mbunge wa CHADEMA Highness Kiwia

    Huyu matata ni ccm wala msiofu kesho kutwa mahakama inamvua udiwani kiherehere itaisha
  9. B

    Lema,na millya ndani ya loliondo.

    Mbunge wangu godbless lema watu wa arusha wanakushukuru cna kwa ujasiri uliowapa watu wa arusha wewe ndyo rais wetu wa arusha hatutaki maendeleo yeyote ujasiri uliotupa ni zaidi ya maendeleo maendeleo sio vitu maendeleo ni kujua haki yako ya msingi na tunakupenda cna tunakuombea kesho nanguruma...
  10. B

    Lema,na millya ndani ya loliondo.

    Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chezea jembe la arusha lema weweeeeeeeeeeeee hiyo ni nondo hlo ametikisa loliondo
  11. B

    CHADEMA yanasa mbinu chafu za RC wa Arusha kuwatumia madereva Noah kuandamana

    Ni hivi tutajua hyo ijumaa wamasai wamekuwa a.t.m ya ccm mdyo maana ccm imewanyima elimu ili iwatawale rais kweli amekosa mtu wa kumleta arusha anatuletea mtu anaye aribu amani arusha anafanya siasa mpaka kwenye maendeleo ya jamii sijawahi ona mtukama huyu kbsa hawamuezi lema daima huyu ni...
  12. B

    Baada ya CCM kuzidiwa Kete na CHADEMA Arusha,sasa waja na Mbinu mbadala.soma hapa!!

    Kweli ccm wamefulia kisera kwa kila kitu yaani wanaziba maeneo ya wazi kufanya mikutano chadema iko ndani ya mioyo ya watu sio kundi lawatu ebana kumbe hii nyomi inawaumizaga hawa magamba piganieni haki mpendwe kama chadema kweli mmefilisika kimawazo kifikra kweli nimeamini ccm arusha.mjini wako...
  13. B

    Dhifa ya Kitaifa na Obama: Mbowe ndani ya mwaliko Ikulu

    Ndugu zangu wa JF huo niuongo mkubwa cna Mbowe hajaenda ikulu mboe tuko nae hai moshi huyo mtu ameamua wafuraisha walio nuna CHADEMA sio chama cha matumbo elewa
  14. B

    Intelijensia ya CHADEMA imenasa njama za Kumdhuru Mbunge Lema

    Mh lema mungu pekee ndye anaweza chukua roho yko sio mtu yeyote daima unapigania haki mungu yuko nawewe
  15. B

    Chadema yazidi kung'ara vyuoni

    Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz hongereni cna kuwakataa waizi hao pigeni kazi makamanda wangu hongereni cna
Back
Top Bottom