Je huu si upotoshaji wa Bw.Bulembo?

Je huu si upotoshaji wa Bw.Bulembo?

Amesema katiba itafanya shule na hospitali zifungwe kwani wafanyakazi watalazimika kuomba upya kazi........,jamani huyo ndo mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi,daah kichefu chefu.....

Mshauri wake mzee wa ma bebs wa ukweli kama vipi boss wako amechemka you know,le mutuz straight talk na mburulaz hapo inabid itumike
 
Hivi unategemea nini kwa ambaye hamna kitu kichwani kuijadili katiba bila kuogozwa na watu wenye uelewa.
 
Amesema katiba itafanya shule na hospitali zifungwe kwani wafanyakazi watalazimika kuomba upya kazi........,jamani huyo ndo mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi,daah kichefu chefu.....

Ni aibu sana kwa CCM kama kiongozi mkubwa ndani ya chama anaongea upuuzi huu
 
Angejitaidi kujenga ofisi yake sehemu nzuri kwani ilipo pale kariakoo ni hasara na ndio maana akili yake bado sio nzuri, kwani nje ya ofisi yake ya taifa wanauza unga na madawa ya kulevya na mishemishe zote za town upangwa pale

Kiufupi sisiemu naione huruma sanaaa
 
Huo upotoshaji ni wa kiwango cha juu nadhani mzee Warioba atato tamko manake dah anaongopa mchana kweupe BUlembo na MACCM janga la taifa
 
Well said brothers!
Bulembo alichosema amejitahidi sana!! Yeye ni darasa la saba Na aliwekezwa na kiongozi mmoja anayetaka uraisi sana nchi hii (simtaji).

Kwa sasa anachofanya nikuzunguka nchini kwa kisingizio cha kuimarisha chama ili ahalalishe ulaji ndani ya jumuiya yake. Kwani ccm ilimtuma lini? majanga tu!

Mwenzie ni malecela (mshauri mkuu). Kwa ufupi kauli zao zitakikotst chama cha mapinduzi siku moja!
 
Huyu gamba amedata atafute kazi yakufanya huyo chadema juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
le mutuz mbona sijawahi mwona akichana nayeye ...zitatoka pumba balaa
 
Huu ni uthibitisho tu kwamba ndani ya ccm kumejaa vilaza tupu. BULEMBO anatamka waziwaz "....shule, hospital zitafungwa, eti wafanyakaz watabidi waombe kazi upya" Kwel jaman!!
 
Inawezekana huu mzee hajui rasimu mpya ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inaanzia wapi na kuishia wapi!
 
LEE MUTUZ hujampa bosi wako tuition ya rasimu ya katiba?

Halafu huyu jamaa LEE MUTUZ ni kama karogwa!
Kila akigombea nafasi ndani ya CCM huwa anapigwa chini!
Hata wenziye wanamshtukia ati!
 
Wakubwa na mm nimemuona huyu mwizi na jambazi asiyeona haya huku akipotosha umma wa Tz, huo ndio mpango mzima wa ccm kuwaweka vibaraka wao kwenye mabaraza ya katiba ya wilaya.
NDUGU WATZ TUSHIRIKIANE KUONDOA CCM NI LAANA KWA NCHI YETU ONA MAJANGA YOTE,
 
Bulembo alitamka hivi, Mkikubali Rasimu ya katiba hakuna shule, Zahanati, Madiwani vyote vinafutwa hivyo nchi itakuwaje wakati halmashuri zote zitafungwa. Akasisitiza someni Rasimu hakuna eneo inatamka mambo ya ELIMU AFYA WALA HALMASHAURI. Wakati huo alikuwa amemaliza kucheza muziki, Kiongozi huyo nafikiri ni GAIDI anapashwa ashitakiwe kwa kupotosha kile kilichomo kwenye rasimu.
Tusiishie kumuona kama KICHAA huo ni mkakati wa Kichama kwani mpaka muda huu hakuna tamko juu ya upotoshaji huo.
 
Msimlaumu huyu mfuniko wa magamba anaweweseka kwa kifafa na masikitiko ya mizigo yao ilokamatwa huko China (pembe za Kinana) na Afrika ya Kusini (Sembe ya Idi Azan).
 
Back
Top Bottom