Baada ya CCM kuzidiwa Kete na CHADEMA Arusha,sasa waja na Mbinu mbadala.soma hapa!!

Hivi kwa haya matusi mnategemea kushika dola? Dah never hata Mungu hawez kuwasaidia hata huyo Mungu mnayesema mlianza naye ni yupi? Mungu tunayemwamini hawasaidii wenye matusi. Mleta mada tangazo limeandikwa by AICC unatuambia ni ccm. Mwanaume mzima full umbeya utakufa masikin.

Mmbea ni wewe Mke wa Mwigulu. Unadhani mimi ni natumika kama wewe Kondom? Pinda(-------) mkubwa wewe!
Halafu kwa taharifa yako mimi ni tofauti sana na wewe MASIKINI wa Akili wewe. Peleka ujinga wako huko. Kwa hiyo kibao kikiandikwa na AICC ndio sababu inayokufanya useme CCM haihusiki? Na NMC pia ni AICC walifanya soko,? Na Kilombero ni AICC ndio waliuza?

Nyie kaeni tu kwani siku yaja ambapo mtalia kilio cha kusaga Meno!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Ccm wanaisaidia CHADEMA bila kujua kutokana na viongozi wao kutumia kichwa kufugia chawa badala kutumia kufikiria,
Kweli waliosema ukishangaa
ya MUSA utashuhudia ya Firauni hawakukosea.! Chama cha Mapinduzi baaada
ya kuona kuwa Mbinu zote za kuichafua CHADEMA hapa Arusha Mjini
zimeshindwa haswa kwa ile mbinu ya kuiita ni chama cha Wachagga leo
nimeshuhudia kituko kingine.

Ikumbukwe kwamba CHADEMA walikuwa wakitumia uwanja wa NMC kama uwanja
wao wa Mikutano mikubwa na midogo.
Lakini mwishoni mwa mwaka jana Mkuu wa mkoa na mkurugenzi walihalalisha
uwanja huo wa NMC kufanywa Soko.

Baada ya hapo CHADEMA wakawa wanautumia uwanja wa shule ya Ngarenaro
ambao mara zingine ulishindikana kutumiwa kwa ajili ya wanafunzi ambao
wanakuwa shuleni siku za kazi.

Viwanja vya Soweto vipo chini ya AICC na na miaka yote vimekuwa
vikutumika na watu kwa michezo mbalimbali bila masharti yeyote. Lakini
cha kushangaza leo nikiwa napita maeneo yale nilifanikiwa kuona VIBAO
VYA MATANGAZO vikiwa vimewekwa kuzunguka uwanja wote maneno yenyewe ni
haya; ILANI. HAIRUHUSIWI KUFANYA MICHEZO AINA YEYOTE AU "SHUGHULI
NYINGINE YEYOTE" KATIKA VIWANJA HIVI BILA IDHINI YA UONGOZI. BY
UTAWALA WA AICC.

Hii yote ni mbinu inayofanywa na Ccm kuhakikisha kuwa CHADEMA hawapati
eneo la karibu mjini hapa kufanya mikutano. Sasa uwanja wa shule ya
Ngarenaro nao unazungushiwa uzio na manispaa ktk kilekile cha
kuhakikisha kuwa CHADEMA wakitaks kufanya Mkutano wao basi either
waende viwanja vya Suye au Kimandolu nje kabisa ya mji.

CHADEMA kwa Arusha ipo Mioyoni mwa watu na sio viwanjani. Kitendo cha
Ccm na washirika wake kuzuia viwanja vyote kutotumika na CHADEMA
hakutasababisha watu na wapenzi wa CHADEMA kuacha kuiunga Mkono.

Hii ni sawa na kujaza maji kwenye gunia wakati unajuwa kuwa huwezi
kujaza hata ukitumia water pump!!
 
Kwani mikutano ya sisiem inafanyikia wapi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kwani mikutano ya sisiem inafanyikia wapi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Yaani ndugu unamshika Mbwa mkia halafu unauliza ------ yako wapi? Ccm si walitaifishaga Viwanja vyote vya mpira? Kwa Arusha wanao ule wa STADIUM. Tatizo ni kwamba wako wapi watu wa kuujaza huo uwanja?

Ndio maana tar 15 siku ya kufunga kampeni za udiwani CCM waliamua kufanya mkutano barabarani Ilboru badala ya uwanja wa Stadium.
 
nasema hvii chadema wakiita mkutano hata kama ni ng'aramtoni tuta enda wala wasitutishe hawa ngurue pori,hv wanadhan chadema iko viwanjan?hawa kina Mulongo ni pumbafu sana.
 
Kweli ccm wamefulia kisera kwa kila kitu yaani wanaziba maeneo ya wazi kufanya mikutano chadema iko ndani ya mioyo ya watu sio kundi lawatu ebana kumbe hii nyomi inawaumizaga hawa magamba piganieni haki mpendwe kama chadema kweli mmefilisika kimawazo kifikra kweli nimeamini ccm arusha.mjini wako hoi bin taaban mrudieni
 
Wapewe mfano, mkutano ufanyike pale iliboru njia wlaiposhindwa kupajaza ili CDM wajaze hadi barabara zisipitike kwa mudawote serikali ipate embarassment na hasira ya raia.
 
Back
Top Bottom