Chadema imezidi kuonesha kukubalika vyuoni baada ya matokeo ya Uchaguzi wa Rais Serikali ya wanafunzi Taasi ya Ustawi wa Jamii kumwangusha vibaya sana kada wa CCM na UVCCM pamoja na nguvu ya chama tawala na mahela Yao machafu. Watu wameamua kusema kwa sauti zao wenyewe. Kama kawaida yetu Huwa Tunaanza na Mungu na Kumaliza na Mungu. Na kilicho mwangusha kada wa Magamba ni Ile baada ya watu kujua Ana kadi za CHECHEMEE na Jumuhiya zake. SAUTI YA MUNGU NDIYO YA WATU. Watu wakakamavu na watafuta maendeleo wanapiga Gwanda. VIVA USTAWI WA JAMII Kwa kuimarisha umoja na kudhihirisha kuwa Magamba hayana nafasi. Tumpe nguvu rais wetu tuchape kazi