Recent content by Bahati mathiad

  1. Bahati mathiad

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Laboratory Assistant

    Mimi ni mtaalam wa maabara (lab assistant), mwenye uzoefu wa miaka 3 na kazi, natafuta kazi katika kanda ya kaskazini, naishi Arusha. Vigezo vyote ninavyo pia nina lessen ya kudum (ERP) nahitaji mtu aliye serious na kazi yake mwenye kufuata ushauri wa mtaalamu. Namba ya simu 0625318808
  2. Bahati mathiad

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma diploma ya medical laboratory katika chuo cha serikali?

    Kaka mm nmemalza certificate ya maabara. .vip naweza badili nikaunganisha diploma ya clinical medicine
  3. Bahati mathiad

    JamiiForums Tanzania Bilnas adai nand ndo mke wake mtarajiwa

  4. Bahati mathiad

    JamiiForums Tanzania Natafuta tempo ya kufanya kazi maabara ( medical laboratory )

    mimi mhitimu wa chuo cha maabara singida ngazi ya astashahada nmemalza mwaka huu (2017 ) naomba mnijulishe kama mtanipatia namba yangu 0762462776
  5. Bahati mathiad

    JamiiForums Tanzania Kwa nini binti ukimwambia Utakua mama wa watoto wangu anadata kuliko kawaida

    wanaume wa kuoa wachache ukilinganisha na wakuchapa na kuondoka, kwa hyo ulitoka kwa kund la wengi ukaenda kwa wachache ndo maana
  6. Bahati mathiad

    JamiiForums Tanzania Nyalandu kumjulia hali Lissu: Aitwa kwenye kikao cha Maadili cha chama kujieleza

    hakuna haja ya kuendeleza uadui wakati mwenzenu ni mgonjwa huo ni upungufu wa upendo moyoni ktk nchi yetu neither peace nor democracy
Back
Top Bottom