Recent content by BAHARIA MSAFIRI

  1. B

    JamiiForums Tanzania Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    BALAA HILOOOO KWA MABONDIA
  2. B

    JamiiForums Tanzania Simba SC wamechea kikubwa na kimkakati

    HAPO NDIO SHIDA YA KUANGALIA KISHABIKI. SIMBA ILIKUWA NA MALENGO YAPI? WALIYOJIWEKEA.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ken Gold yaachna na Kocha wake

    HII TIMU ILICHUKULIA LIGI KUU YA KAWAIDA SANA
  4. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

    Mm nadhani jaji amekosea kuomba msamaha katika mazingira ya wakati huo. Maana hakuwa na sababu ya kufanya hivyo kwa Kingai. Ambaye alikuwa amebanwa kwa maswali na alishapanik . Jaji yupo kwa kuangalia mizani iko sawa muda wote kitendo chake kwa mazingira ya wakat huo amekosea
  5. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu Mrs. Prosscovier Luhaga afariki Dunia

    pole kwa wafiwa mungu awape wepesi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

    MNYAMA HAPAAAAA
  7. B

    JamiiForums Tanzania ‘Udikteta’ wa Magufuli na uhuru wa kujieleza

    Salute kaka mkuu. Umenipa chai asubuhi na mapema, heshima kwako
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nawatafuta ndugu zangu, Sophia Antony Marwa na Marwa Antony Marwa

    Hongera kwa kuwatafuta na kuwapata mungu akubarik
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani Golugwa na Ally Bananga wameonesha umahiri mkubwa kwenye kampeni

    Amegombea udiwani . Ila anafanyiwa kampeni na atashinda. Ni maarufu sana.
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

    Suala la akili ndogo tu. Polisi wanatumia nguvu bila sababu za msingi.
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

    Polisi wapesi tu.Lissu alisema naomba wananchi waje watuunge mkono hapa tukeshe .Polisi wakaona isiwe shida
  12. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

    Polisi wamelegea kitambo.lissu anafika mlandizi now. Lissu habar nyngn
  13. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

    Boss .lissu anaendelea kwenda mlandizi. Polisi wamelegea
  14. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

    Lissu ameshinda gemu.sasa anaelekea mlandizi.aibu yao polisi
Back
Top Bottom