Kwa Mapadri Kama Gwajima Kujiingiza Kwenye Siasa Hamna Shida Ila Mashehe Na Wanasiasa Wao Wakiislamu Wakijaribu Tu Wanaozea Jela Kama Ponda Na Uamsho. Naanza Kuamini Maneno Ya Al Marhum Shehe Ilunga Kuwa Tz Kuna Mfumo +
Tuombe tu Mungu atuepushe na viongozi wa aina hii.
usihofu Ye Hawezi Kuwa Rais. Chama Chao Kilipata Nguvu Kwa Kueneza Propaganda Za Udini Dhidi Ya Jk. Kwa Vile Ajae Ni Mkatoliki Ugomvi Wao Umeisha Ndo Maana Hawakutaka Kugombea Urais Bali Walikopea Wagombea Toka Vyama Hasimu Kwao...
Mi Simhurumii Padre Slaa Sabu Anachofanya Anakijua, Huruma Yangu Ni Kwa Mamvi Sababu Majority Hatuna Imani Nae. Mtajitahidi Kumpaka Rangi Lakini Never Hazitatimia Kura Zake
Hatujalala Bado Kwa Lowasa Kuwa Rais Labda Nywele Zake Zibadilike Rangi. Nawapongeza Waliomtosa Wanafahamu Watz Tunataka Nini. Oct 26 ni siku ya maandamano kupinga ushind wa tsunami wa magufuli make ndo wanachoweza
Madiwani wote wa CCM toka Halmashauri ya Meru Mkoani Arusha wote wamehamia CHADEMA
Mbuyu unapondeka kwakakasi sana CCM kwishenei kwishenei.
Muda huu Madiwani hao wamehamia CHADEMA
KWANI HUKO KWENU BARAZA LA MADIWANI HALIJAVUNJWA? CKU HZ HATUNA DIWANI BALI TUNA WAGOMBEA UDIWANI. NDO MAANA...
Lipumba anasitahili kuwa profesa, binafsi nilikuwa na imani kubwa kwa viongozi wa upinzani waliokubali kuteseka na kusamehe posho kwa ajili ya kuwasemea wananchi kwenye bunge la katiba. Tunayataka mabadiliko ila sio kwa watu kuvua shati la kijani leo kesho kujifanya ukawa eeee
Hv Unaposema Msibani Una Maana Ipi Sabu Hapo Siuoni Msiba Zaidi Ya Watafuta Sifa Wamekusanyana Kuuza Sura Zao Kama Dua Si Wafanye Msikitini Au Majumbani Mwao?
Hongera Dr Kikwete Kwa Kuwakomboa Watz Kupitia Udom, Sioni Chuo Cha Kukifananisha Hapa Bongo Waache Wasojua Kulinganisha Mambo Wapige Kelele Ila Utamu Wa Ngoma Ingia Ucheze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.