Mtoto mdogo alimfuata baba yake na kumuliza, "Nini maana ya SIASA?". Baba akajibu, "Mwanangu, ngoja nijaribu kujibu kwa mfano huu. Mimi natafuta fedha ya matumizi, hivyo niite mimi BEPARI, Mama yako yeye anasimamia matumizi ya fedha, hivyo mwite SERIKALI.
Mimi na mama yako tuko kwa ajili ya...