Recent content by Badu

  1. Badu

    JamiiForums Unapoambiwa na mwanamke kama unaniacha we niache tu we unaelewaje?

    Chanzo cha ugomvi ni kwamba kuna katabia fulani anacho basi, nikaamua kumshauri kwa upole tu lakini mwisho wake mambo yamekuja kuwa makubwa.
  2. Badu

    JamiiForums Unapoambiwa na mwanamke kama unaniacha we niache tu we unaelewaje?

    Nilichoamua japo nampenda sana..... nampotezea kwa mda, endapo nayeye akikaza ubongo itakuwa ndo bye-bye
  3. Badu

    JamiiForums Unapoambiwa na mwanamke kama unaniacha we niache tu we unaelewaje?

    Leo kumetokea kutokuelewana kati yangu na mchumba angu na mwisho ikafikia hatua akanitumia sms kama utaamua kuniacha powa tu niache. Kwa wanaume wenzangu naombeni ushauri wenu, huyu anamaana gani kunitamkia hivyo?
  4. Badu

    JamiiForums Nimtongoze tena?

    Fact... Sent using amfifiro
  5. Badu

    JamiiForums Namna nilivyoanza biashara kwa uoga mpaka kufikia hapa nilipo, nilichogundua biashara haihitaji elimu nyingi ya darasani

    Hongera mkuu. Tatizo watu wengine wanadhani mpaka mtu uwe na 5 millions ndo ufungue biashara. Sent using amfifiro
  6. Badu

    JamiiForums Ulishawahi kuoa kisha wajanja wakamuoa mkeo kwa mara ya pili? Tueleze ilikuwaje

    Then, ukamshauri huyo rafiki yako amsamehe mkuu? Ama ilikuwaje... Sent using amfifiro
  7. Badu

    JamiiForums Ulishawahi kuoa kisha wajanja wakamuoa mkeo kwa mara ya pili? Tueleze ilikuwaje

    Napita tu [emoji125][emoji125][emoji125] Sent using amfifiro
  8. Badu

    JamiiForums Utofauti wa iphone na simu za Android

    Tupa tu mzee. Au hifadhi mpaka siku utakayokumbuka. Ameen Sent using amfifiro
  9. Badu

    JamiiForums Utofauti wa iphone na simu za Android

    Ila bado mzungu atakuwa na akili mingi mzee. [emoji16][emoji16][emoji16] Sent using amfifiro
  10. Badu

    JamiiForums Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hapa ni wapi Sent using amfifiro
  11. Badu

    JamiiForums Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

    We hayajakukuata tu Sent using amfifiro
  12. Badu

    JamiiForums Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

    Hawa ni vichaa hutawaweza mkuu Sent using amfifiro
Back
Top Bottom