Recent content by bachelor sugu

  1. bachelor sugu

    Tuliosomaa riwaya za kitanzania Kama za Willy Gamba na za akina Ben Ntobo njooni tujadili mafunzo na ubunifu mkubwa tulioupata.

    DAIMA NITAHESHIMU POLISI hii riwaya bhana kitabu kikubwa km biblia ila niliimaliza baada ya siku5. Mafunzo yake bhana kwa kweli sikumbuki.
  2. bachelor sugu

    Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

    Ah mkuu anyway tuishi tu mapenzi yenu yana mitego mingi na Sana'a kibao but yote kwa yote mnajuana vizuri yarlekea. Kifupi tuendelee tu na pirika zetu za mikeka vp siku hz unatumia kampuni gani mzee au bado upo na 1vbet?
  3. bachelor sugu

    Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

    Mkuu ww ni msaliti wa makubaliano,sisi kwenye uislam tunakuita "Mnafiki". Haijalishi ht km ni mchepuko lakini ametekeleza vyote ulivyomwambia at the end ww ndo umekuja kuvunja kile ulichomuahidi ss huoni hapo kuwa kuna ujinga umeufanya??? Mm nimeishia pale uliposhindwa kutekeleza kile...
  4. bachelor sugu

    Kaniruhusu nikanunue kahaba aniridhishe. Nimenunua kweli, sasa analalamika

    Dah li thread lireeeeefu ila content pumba nyingi.In short ujinga ni mwingi sana kwenye huu uhusiano wenu
  5. bachelor sugu

    Vifaru vya kijeshi vya Czech vyaelekea Ukraine, NATO yafafanua

    Aliyekwambia wao shida yao ni kuokoa majiji nani?Wenzio kwa pamoja na Ukraine wenyewe wameshaamua Ukraine kuwa uwanja wa vita so kubomoka kwa nchi hiyo kwa ss sio issue maana wote wanajua nchi imeshaharibika ila kwa ss kinachofanyika ni kumchosha Urusi na kummaliza nguvu yake ila mwishoni...
  6. bachelor sugu

    European Aluminium windows grade 1

    Fala sana hii mtu sijui ina nn kwa kichwa kwa kweli.
  7. bachelor sugu

    European Aluminium windows grade 1

    Hv mheshimiwa huwaga huna cha kuandika au ndo makusudi tu, Ah kiukweli hata km ndo unajibrand kwa style hii nop inatia ukakasi kidogo sababu kila topic upo halafu unachokiandika ndo hichohicho always.Napata mashaka ku figure out kichwa chako kina nn ndani.
  8. bachelor sugu

    Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

    Nami naziona dalili hapa kuna kamtu kamekomaa kana mimba kana mimba ila kenyewe kanataka kutoa mm nimekaambia huwa sishiriki utoaji mimba na nitakaruhusu endapo tu kakinithibitishia mimba hiyo sio yangu maana ktk dhambi nisiyoipenda ninkuleleshwa mtoto wa mwingine. Kamekubali kuwa hakatoi ila...
  9. bachelor sugu

    Maajabu ya matumizi ya rangi zenye sifa ya kuongeza wateja kwenye biashara yako

    Ww km mm sijajua hizo rangi zinahusika vp mm biashara yangu ya scrapper rangi wapi na wapi. Hajaeleza rangi za kitu gani fremu?bidhaa zenyewe au kitu gani
  10. bachelor sugu

    Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

    Mkuu naomba website nijiunge kabisa maana uzi nimeukutia mkiani ikiwezekana na namba za simu za ofisini kwenu tuanze kuchakarika now.
  11. bachelor sugu

    Uzoefu wetu na India: Kwanini wafanyabiashara wanaagiza mazao kutoka nje ya nchi?

    Kama ambavyo mnawasaidia watanzania kununua bidhaa nje ya nchi na kuwasafirishia je mnajihusisha pia na kuwatafutia masoko nje ya nchi ya bidhaa zao na kuwasafirishia???
  12. bachelor sugu

    Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. bachelor sugu

    Utabiri wangu: Rais Samia awe makini na sakata la Mbowe, litamaliza kabisa kibali kidogo alichobakiwa nacho kwa Watanzania

    Bro acha utani bhana sura nzuri iko wapi lakini? Roho na sura mbona km vinafanana tu?
  14. bachelor sugu

    Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

    Khaaaa yaani ww pamoja na watu kukushauri kwa nguvu zote kuwa usijaribu umekomaa tu kupangua hoja zao basi amini ulevi unakunyemelea na ukijaribu tu umekwisha. Stay away from pombe dada yangu.
  15. bachelor sugu

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Hivi hata huku wilayani kunahitajika kupata hivyo vibali vya TBS?
Back
Top Bottom