Naomba Msaada nina wiki ya pili tangu nimeanza kuwashwa sehemu za Siri na nikikojoa mkojo naumia Sana nikachoma power self 4 ikawa bado nikachoma panaduu 1ikawa bado nimepewa dox na flagin lakini bado naomba msaada wa kimatibabu...
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 29 nahitaji mwanamke wa kuanzia miaka 20-25 dini yoyote rangi yeyote awe mrefu na asiwe mwembamba Sana anipende kwa dhati. Elimu kuanzia kidato cha nne na awe WA kujituma Kama vipi ambaye anavigezo nicheki.
Naomba msaada wana jf hv mtu akiajiriwa serikalini halafu akikopa mkopo kwenye taasisi ya fedha na mwajiri akawa mdhani. je mtu yele akifukuzwa kazi au akiacha deni la mkopo linakuwaje? naomba msaada wenu wana jf
Songea siku ya pili leo wanafunga maduka kugoma mashine za tra, wananchi wataabika kupata mahitaji muhimu. Tanzania tuhurumieni wafanya biashara wadogo
Hospital ya dodoma ni matatizo tupu tumekuja na mgonjwa tangu saa tano asubuh had sasa hajahudumiwa na kifua kimembana sana. Kulala wawili wawili matatizo tupu.
Jaman wana jf nimepita maeneo ya uwindini dodoma mida ya saa 3 uck nimekuta biashara ikiendelea pale madada kwa wakina mama wakijiuza kama ifuatavyo fasta 10000,8000 na mwish6 7000 kulala naye mpatka asubuh 30000 mwisho 25000 na sio wanachuo ni watu wa mitaan just wanatafuta maisha bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.