Ugonjwa wa zinaa

BACHELA

Member
Mar 11, 2013
26
1
Naomba Msaada nina wiki ya pili tangu nimeanza kuwashwa sehemu za Siri na nikikojoa mkojo naumia Sana nikachoma power self 4 ikawa bado nikachoma panaduu 1ikawa bado nimepewa dox na flagin lakini bado naomba msaada wa kimatibabu...
 
Nenda hospital kapime upewe tiba!

Izo sindano nani kakupa bila kujua ni aina gani ya ugonjwa wa zinaa?
 
Pole bachela tafuta spinster mmoja myaanze unaona unavyotaabika ?
 
Naomba Msaada nina wiki ya pili tangu nimeanza kuwashwa sehemu za Siri na nikikojoa mkojo naumia Sana nikachoma power self 4 ikawa bado nikachoma panaduu 1ikawa bado nimepewa dox na flagin lakini bado naomba msaada wa kimatibabu...
UKo wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom