Recent content by babyyuxuph

  1. B

    Naomba ushauri na muongozo kuhusu kusoma Chuo cha Makerere

    Habari zenu wana jf, Napenda kuomba ushauri kwa yeyote aliye wahi soma au kuishi nchini Uganda kwani nahitaji kwenda kujiunga na chuo kikuu mwakani. Yaani namaanisha details namna ya kuapply chuo pamoja na gharama za maisha tofauti na ada hususani katika jiji la kampala kwani ndipo napo...
  2. B

    Kikaangoni: Wengi hawajui kwanini naitwa Padri Mcharo, niulize chochote nikujibu

    dah father mcharoooo..... saa 12 aumelala ukaskia azana wakat mapadre saa 12 wapo kanisani tayari kusoma misa za kila siku asubuhi. majibu yako ya onyesha ulivyo na uwezo mdogo wa akili nakufikiri.
  3. B

    Nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano

    mkuu hv unaweza soma clncal offcer na math una bendera??????
  4. B

    Nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano

    mbna vyuo vng2 vnampokea kma hiyo bi ya bios ita msaidia sana
  5. B

    Nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano

    hpo mkuu unachnganya wa2 wawl ambao kla mmoja alileta matokeo yake kuomba ushaur ktk uzi mmoja
  6. B

    Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

    mondi co wa kumnganisha na papire tena MUMESIKIA....... kiba sahv 2namkompaare na vivan boy (ryvan)
  7. B

    Billy Sepenga ni nani?

    kdosho cha dar
  8. B

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    namba one u tube trending video "HALELUYA" hadi raha yan kuwa tmu "WCB" 2ngoje rmx ya kpusa had mwakan sasa hahahahaha
  9. B

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    namba one u tube trend video "HALELUYA" hadi raha yan kuwa tmu "WCB" 2ngoje rmx ya kpusa had mwakan sasa hahahahaha
  10. B

    Bosi huyu ataoa lini umri unaenda?

    hahaha ukute mleta uzi n yle mume mpya twn wa palepale mawngu sema anaogopa kumchana boss lve...... hahahaha jf raha mno
  11. B

    Official video: Diamond Platnumz Ft Morgan Heritage - Hallelujah

    km2 chnywe kma kaknyago ckapend yaan dah kanakera kkuzi
  12. B

    Nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano

    hv m2 wa it ana fnya kz zpi msaada mkuu na pia phmacetical scnce inahucu mambo gan
  13. B

    Nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano

    hapo sawa mkuu kule utapata ujuzi zaidi juu ya mazao ya mic2 zaid ya mbao pia unaweza 2mia kfuga nyuki pia ukwa unazlsha asal hko utapat elmu zaid juu ya hyo maswala
  14. B

    Nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano

    hahahaha vyema mkuu angalia pia na mifugo au napenda mic2 peke yake
Back
Top Bottom