Nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano

Nilipataga GPA 1.4
Cvs E
Geo E
Phys E
Chms C
Bios. B
Engl C
Hist C
Kisw D
Math f

Nimemaliza 2012 nkapata four ya point 29
Cvs D
Kisw D
Geo D
Phsc D
Chem D
Bioa D
Engl f
Hist f
Math f
Ushaur nixome coz ipi
Ni matokeo yapi sahihi kwako, kuwa na kumbukumbu ni kitu muhimu sana
 
Kufeli shule sio Kufeli maisha matajiri wengi duniani ni waliofeli shule amini tu bado mungu an mpango mzuri tu nawe utafanikiwa tu vyuo vya ufundi au biashara utavyo ongozwa na mungu utafanikiwa
 
Nili rudiaga paper ila napo duh
Kwann ulirudia ??.. ona sasa umejchelewesha adi ndalichako kapewa wizara ....
Basi subir adi amalze mda wake ... akiingia waziri mwngne nadhani unawez ukapata nafasi , ila anatak waliofaul kama yy tu
 
hapo sawa mkuu kule utapata ujuzi zaidi juu ya mazao ya mic2 zaid ya mbao pia unaweza 2mia kfuga nyuki pia ukwa unazlsha asal hko utapat elmu zaid juu ya hyo maswala
mkuu nimefatilia ushauri wako mzuri ila hilo neno mic2 nimelielewa baada ya mtoa post kutaja Iringa nikajua ni " misitu" Duuuh hongera mkuu
 
Kwanini asiguse nursing mheshimiwa?
Akiwa mphamasia anaweza kujiajiri hapo baadae akipata mtaji wa kutosha na biashara yake inalipa,akisoma clinical officer ajira zake sio ngumu sana na hospital nyingi bado zinauhitaji sana wa clinical officers, lakini nursing tena certificate atasugua bench sana mtaani bila ajira wengi wao wanaishia kujitolea hospital binafsi, halafu mmiliki wa hospital anakwambia atakuwa anakulipa laki moja kwa mwezi! Inabidi ufanye tú huna namna!thats why nimemshauri asiguse nursing kwanza graduates wa hiyo kozi ni wengi sana kila mwaka afadhali uwe hata na diploma yake kuliko certificate
 
Nadhani nimekupata, kwa hiyo mtu anayesoma diploma nursing angalau value yake itakuwa kubwa?
 
Nimemaliza 2012 nkapata four ya point 29
Cvs D
Kisw D
Geo D
Phsc D
Chem D
Bioa D
Engl f
Hist f
Math f
Ushaur nixome coz ipi
Kwa matokeo haya unaweza kusoma clinical officer, pharmacy na environmental science ama kilimo
 
FURSA KWA VIJANA WALIOPATA PASS CHACHE O LEVEL NA HATIMAE KURUDI KWENYE MFUMO RASMI WA ELIMU

Tangazo

Fursa kwa vijana waliopata pass chache za kidato cha nne yaani kuanzia D moja na kuendelea . kuna Program imeandaliwa kwa miaka miwili inayoitwa Business Operation Assistant. Mwanafunzi akijiunga na hii program anaweza kupata faida zifuatazo:

1. Kupata fursa ya kujiunga na Diploma moja kwa moja kwenye fani aitakayo mara baada ya kumaliza.

2. Kupata sifa au nafasi ya kusoma bachelor Degree kama atakuwa na uhitaji wa kujiendeleza na shule

3. Kurudi kwenye mfumo rasmi wa elimu ya Tanzania.
4. Kupata professional skills na cheti kwenye areas kama Accounts,Procurement, Marketing, Stores, Logistics mgt,
Wahi sasa kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii. 0718476238 au 0742934704. Course inatolewa na Institute of Procurement and supply IPS- chanika
 
Nimemaliza 2012 nkapata four ya point 29
Cvs D
Kisw D
Geo D
Phsc D
Chem D
Bioa D
Engl f
Hist f
Math f
Ushaur nixome coz ipi
Ni matokeo yapi sahihi kwako, kuwa na kumbukumbu ni kitu muhimu sana
All ar mine c nli rict au ujaonaaga nilipo andika kua nilirudiaga form four au
 
Back
Top Bottom