Nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano

chuo cha mic2 unasomea mambo ya mic2, mazao ya mic2, ubwana mic2, ni koz nzur japo kma unataka kuwa na uwanja mpana wa kujiajr coma mambo ya mifugo kwny vyuo vya lita hutojuta mkuu
 
Iaoshesha kitabu hakikuendi mi nakushauri urudi shamba
Acha mambo yako wewe wat wasoma kwa changa mono ila wakipat fursa wana Fanya wanda kaulize nilipopata fursa ya kupga hyo coz ya CHWs nilifanyaje usihukumu tu badala ya kutoa ushaur WA kujenga una leta umtaa we jamaa huna busara
 
chuo cha mic2 unasomea mambo ya mic2, mazao ya mic2, ubwana mic2, ni koz nzur japo kma unataka kuwa na uwanja mpana wa kujiajr coma mambo ya mifugo kwny vyuo vya lita hutojuta mkuu
Saw ila nilisomaga hii coz ya mwaka mmoja inaitwa community health sasa sijui niendelee au Nipige chini
 
Kama ulisoma combination ya science kasomee science courses but uwe na pass marks za Physics, mathematics na geography, chemistry and biology

Kasomee course zifuatazo ukianza na certificate.
1. Water and pipe engineering

2. Agricultural science (pass in biology & chemistry)

3. Food and nutrition ( must have biology and chemistry pass)

4. Information technology (I.T)

5. Social science

N.B udaktari usisahau kama una hobbie since udogoni
Ukipasua hapo vizuri mdogo wangu utakua umefika mbali mno.
Asant
 
Acha mambo yako wewe wat wasoma kwa changa mono ila wakipat fursa wana Fanya wanda kaulize nilipopata fursa ya kupga hyo coz ya CHWs nilifanyaje usihukumu tu badala ya kutoa ushaur WA kujenga una leta umtaa we jamaa huna busara
Waliosoma wanahangaika na vyet vyao
Jiongoze
Kutoka sio lazima usome
 
hpo angalia na knacholpa coz tz ye2 hii n kufnya knacholpa fasta mifugo waweza jiajar ukpga hela hyo cmnty health unaweza jiajr au hd uajriwe n mtazamo2 lkn
 
hpo angalia na knacholpa coz tz ye2 hii n kufnya knacholpa fasta mifugo waweza jiajar ukpga hela hyo cmnty health unaweza jiajr au hd uajriwe n mtazamo2 lkn
Athante MKUU mwakani misitu naomba kwani nataka kua mkulima WA mbao
 
hapo sawa mkuu kule utapata ujuzi zaidi juu ya mazao ya mic2 zaid ya mbao pia unaweza 2mia kfuga nyuki pia ukwa unazlsha asal hko utapat elmu zaid juu ya hyo maswala
 
Mimi nimemaliza kidato cha nne ila nimekosa wastani wa kujiunga na kidato cha tano sasa nilikuwa naomba ushauri wenu.

Mimi nina wastani wa kujiunga na chuo sasa mpaka saa hizi sijajua nikasomee kozi gani ambayo itakuwa ni faida kwangu na kwa inchi nzima ila samahani naombeni ushauri wenu.
Kwa upande wa afya soma pharmaceutical au clinical officer anza na certificate,usiguse nursing!out of that soma IT. Ajira zake sio ngumu kivile kwa IT unaweza kujiajili pia ukiwa smart kichwani it means unausongo na maisha! Kila la heri mdogo wangu!
 
hapo sawa mkuu kule utapata ujuzi zaidi juu ya mazao ya mic2 zaid ya mbao pia unaweza 2mia kfuga nyuki pia ukwa unazlsha asal hko utapat elmu zaid juu ya hyo maswala
Dah mie huwa nataman ngepataga MTU WA kunishaur ngekua hata nimemaliza dp ya mc2
 
Nimemaliza 2012 nkapata four ya point 29
Cvs D
Kisw D
Geo D
Phsc D
Chem D
Bioa D
Engl f
Hist f
Math f
Ushaur nixome coz ipi
Kwa certificate IFM
Accountancy
Banking and finance
Tax
Science of social protection

CBE
Marketing

NIT
Transport logistics
Procurement logistics
Account transport
Marketing

Ila for this year application tyr inekuwa closed wait for next intake
 
Asante ila nilismaga one year coz ya community health
Endelea na deploma ila cjui hapo unaunganisha deploma gani hiyo course km hutak kuendelea nayo kaombe nyengne certificate au angalia course gan unaweza kupata kwa kutumia hiyo community health au km hutak kuendelea nayo omba course yeyote pale NIT ukitoa za engineering deploma zpo kwa matokeo yako hayo ya o level ila ni 3 years sawa na unaeanza certificate
 
Dah na interest kubwa ya kuxm coz z afya ndg yangu
 
Back
Top Bottom