Saving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave
Habari za leo.
Natafuta binti smart, mchangamfu, asizidi 27 kwa ajili ya kuuza liquor store mitaa ya mbezi beach. Awe na nida pamoja na wadhamin wawili.
Nichek PM
Asante hizo ni town trip job to hme like 10km kwenda so nakurud jumla 20.OIL nimeweka recommended kabisa nilinunua 5 litre 100,000.sema will change pia na uendeshaji kidogo
habari za jioni wapendwa,
Hivi karibuni nimenunua gari Toyota IST CC1490 ya 2004. Full tank ni litre 38. Naweza kutembelea full tank km 360 full Ac. ni sawa au hapa hichi ni kimeo.
Ushauri Wakuu
Habar za muda wakuu,
Mimi nina shida. Nimeagiza IST yangu soon inafika. Naomba kufahamishwa gharama nitakazolipia hadi kupokea gari, nje ya zile za kikokotoo cha TRA kwa sababu hizo nazijua tayari
Asanteni.
Yaaan ww kaka huna ubinadamu kabisa!!! Yaan huyo dada nampongeza sana sema aliharibu kukushobokea kisa upo kwenye garii na pengine alikuja sababu ya dhahama za daladala!! Lakin ni sawa kabisa huwezi kumzoea kila mtu bora hata ungesema hakuitika salamu yako lkn aliitika!!! Kwenda kaka ulikua...
Mm ninamahusiano na mtu kwa miaka kadhaa sasa!! Kuna wakat alinidukua watsap nikajua nikamtoa!!! Saiv nikiwasiliana na mtu kwa normal call. Lazima anakuja nifikishia ujumbe au kuongea maneno niliodiscuss kwenye conversation yangu!! Na kuna kipindi alishaniambia i paid kukufuatilia!! Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.