Mhu jamani aliyeandaa hii mada nampa pongezi kwani imenigusa sana na imenifariji na kuona cko peke yangu ktk hili tatizo.ila cha kushangaza jamani baba wa mtoto amenitelekeza na anakula goodtime maisha yanamyiokea mie nilieachiwa mtoto nasaga lami mpaka naona dunia chungu.
asante kwa ushauri wako but baba yangu alienda wakamwambia aandike barua lkn walimjibu kijeuri so hakutaka tuendelee na tcu.hivi licha ya kuandika barua na kuatachi ile fomu niliyoomba mkopo watatusaidia kweli au gelesha tu nipo dsm tbt
asante kwa ushauri wako but baba yangu alienda wakamwambia aandike barua lkn walimjibu kijeuri so hakutaka tuendelee na tcu.hivi licha ya kuandika barua na kuatachi ile fomu niliyoomba mkopo watatusaidia kweli au gelesha tu
Jamani naombeni ushauri mimi nimechaguliwa chuo cha udom na kozi yangu ni priority.sasa tcu ktk kunichagua wametumia namba tofauti na niliyoombea mkopo.ni kwamba mimi nina vyeti vitatu vya form four lkn bodi ya mkopo ilishauri kutumia cheti cha kwanza lkn ktk information nilizojaza ilihitaji...
Uko sahihi ndugu yangu hata mimi ilinitokea hivyo aliniambia nitoe but nilikataa na mapenzi yakaisha tangu mimba mpaka sasa mtoto ana miaka mitano hajui anachokula anachovaa wala matibabu na anajua kama ana mtoto natamani nicngemwambia kama ni mtoto wake hataki hata kumuona nimemuongopea mpaka...
mh kwa hiyo huyo mwarabu ndio aliyekuwa ni wa kwanza kufungua mlango na ilkuwaje mkajikuta mpo kwa bed au alikuwa mzuka kwa ninavyojua mlidhamiria haswa mpaka mkaenda huko kwa bed hebu tujuze vizuri bwana
Huoni ukikubali kuwa mke wa pili utainjoy na kupata haki sawa na bi mkubwa na pia utakuwa umehalalisha hata mbele ya mungu na kumpunguzia hukumu ya kufanya zinaa huyo mume wa mtu.au humuogopi mungu mwenzetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.