Recent content by Baby Daddy

  1. Baby Daddy

    Nakupenda sana: Pumzika kwa amani Mama yangu

    So sad, I know how it pains! La muhimu kwa sasa ni kumuenzi mama. Kivipi? Kwa kuendelea kushikilia ''hatma yako mikononi mwako''. Usiyumbe. Like other lovely moms; Your mom fought so long dilligently to make sure you achieve the best, pls promise your mom! Rest in peace mama!
  2. Baby Daddy

    Clouds Media na Shafii Dauda: Gharama za Kufuatilia Michezo kila Kombe Duniani

    Ngoja nijiweke kwenye nafasi ya kumiliki clouds media: Ningepeleka Shafii Dauda kwa sababu moja tu. Quality ya kazi ile ninayotaka akaifanye. Ukiniuliza ina maana wengine wale hawana quality?! Jibu, hata kama wana quality lakini hawawezi kulingana, lazima awepo mmoja bora zaidi na huyo bora...
  3. Baby Daddy

    Nimekua mpweke kwa miaka mitatu sasa naombeni mnishauri

    Karibu tena! No. Usijali. Hivi ndivyo tunavyoishi. Hakika hakijaharibika kitu. Kuna baadhi ya watu tayari wamesha twist hii kama vile umekuja kutafuta -me! Proof them wrong, if you didn't mean! Otherwise, all the best BabyNice!
  4. Baby Daddy

    "Sikutegemea" Nimeamini kila jambo lina sababu

    Updates plz......hizi ndio akili zetu haswaa sisi wabongo! Anayebisha anyooshe mkono juu!
  5. Baby Daddy

    Nimekua mpweke kwa miaka mitatu sasa naombeni mnishauri

    Pole. Kwa nini unaruhusu hayo yote yakutokee? Najua uwezo wa kuyakabili umekuwa down, lkn hakuna namna nyingine isipokuwa kutoruhusu hayo yatokee. Fanya hv: Mtafute mwanaume ambaye unamfeel, make sure umejiridhisha naye asije akawa majanga makubwa zaidi. Najua hali hiyo uliyo nayo hata uwe na...
  6. Baby Daddy

    Naomba Msaada: Sheria za Visa zinasemaje mtu kutoka nje ya nchi?

    Navyojua: One, Achana na mambo ya visa. Wewe vuta jiko, then cheti cha ndoa kitakuwa ndio visa yenyewe automatically. Any querry ikiraise una surrender vyeti vya ndoa, na maisha yanaendelea kwa utulivu. Two, Nenda kanisani, hasa kanisa kubwa omba mwongozo. Tatu, Unaweza kwenda uhamiaji, omba...
  7. Baby Daddy

    Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

    Huyu mrembo wakati akiapa moyo ulikuwa unamdunda sana! Anawaangalia manyang'au live hao hao hapo huku akiwa live kwenye televisions kadhaaa................bila shaka aliogopa sana!
  8. Baby Daddy

    Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?

    Huyu hapa. Pasco wapelekee wananchi huko juu!
  9. Baby Daddy

    Nigerian solves 150 yrs Math Problem!

    USAHIHI: Hii habari sio ya kweli. Bado haijathibitishwa rasmi na wenye kuthibitisha. Stori hii imekuwepo kwenye mitandao mikubwa sana kama yahoo tangu mwanzoni mwa wiki hii. Media kubwa kubwa za UK zimeongelea sana hii kitu lakini hadi sasa hakujathibitika kama huyu profesa amesolve hii hesabu...
  10. Baby Daddy

    Ameni-dump kwa mara ya pili

    Haya ni kawaida sana katika ulimwengu wa mapenzi, sema tu wengi hawasemi, pia kukaa two years bila kukulwa nakupongeza sana aisee! Endelea kufurahi maisha yako wala hakuna haja ya kuumia!
  11. Baby Daddy

    Ebola imeisha watu wamerudi porini kama kawa

    black sniper sidhani kama umeeleweka vema hapa!
  12. Baby Daddy

    Ni kitu gani kilimsibu Ndg Julius Mtatiro CUF?

    True! Nitawashangaa sana chadema wakitoa hili jimbo kwa cuf!
Back
Top Bottom