Recent content by Babuwawil

  1. B

    JamiiForums Tanzania Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

    Ha ha haaa kweli maisha yako kasi sana, hawa si walikuwa wakiibeza Yanga kipindi kile? Ngoja tuone
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tume ya ushindani kuchunguza udhamini wa GSM ligi kuu

    Ha ha haaa hapo umempa za uso kwani makolo wao wamezuiwa kuleta hizo hela zao za familia yamejaa wivu tu sasa wenye hela zao wanaenda kudhamini championship nako lalamikeni tena.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kweli Simba inapigwa vita nimeamini

    Hakuna timu hapo ila kunawacheza mpira hivi nyie hamkuona? Kama huamini subiri Des 11 pablo ndo ataamini maneno haya.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari

    Kwani yenyewe inatumia mafuta!!?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Napinga GSM kuingia mkataba na NBC ili kuendesha ligi kuu ya soka Tanzania

    Waacheni wenye fedha zao wadhamini Kama huna hela kaa kimya Mpira wa leo unahitaji fedha, HONGERA GSM na raisi wao wa maisha nae afanye hivyo tuone.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Simba SC Wamekosea Kuajiri Kocha Asiye na Uzoefu wa Soka la Afrika.

    Makolo wanao uvumilivu wa hadi mwakani? Maana wachezaji atatadai hakuwasajili
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwa huyu kocha mpya Simba SC imelamba dume

    Wachezaji wenyewe ndo hawa? Atajitetea hakuwasajili yeye wajipange kwa msimu ujao
  8. B

    JamiiForums Tanzania Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Bado wanatoa ile ofa ya kusafiri mara 9 ya 10 free
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dar: ‘Houseboi’ adaiwa kumnyonga bosi wake hadi kufa

    Pole sana kwa familia hiyo, pia Kuna funzo hapa tuachane na hawa vijana wa kazi Kama haina ulazima sana.
Back
Top Bottom