Rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari

wiztech

JF-Expert Member
Apr 20, 2020
255
484
Kutokana na hali ya uchumi mafuta yamepanda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari labda ubber daladala na bodaboda.
 
Tatizo sio mama kwa kuwa bei ilipanda soko la dunia ukichanganya na kodi siijui 15 kwenye mafuta lazima yawe bei juu
Suluhisho la kushusha bei za mafuta ni kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi pale TANGA
Fursa hiyo ya kuchakata mafuta ya Uganda
Yaani mkuu tz mikoa yote mafuta unafuu wa bei ni mkoa wa tanga tuu
 
kutokana na hali ya uchumi ...mafuta yame panda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupak sitatumia tena gari labda ubber dala dala na boda boda mama samia suluhu unapo tupeleka wewe una jua.....
Nilikuwa siipendi passo ya wife Sasa tunanyang'anyana funguo
 
Mama Anaupiga Mwingi...hapo bado Hajaingia ndani ya kumi na nane!

Yupo katikati ya Uwanja, tusubiri kibano zaidi Atapoingia ndani Ya 18 golini mwetu.....!

Kutaja machache yanayoonyesha mbungi linapigwa Jingi.....!

Tozo La Uzalendo anakamua bila kulitolea jasho.

Machinga Wanachafua Mji.
Bei ya Wese juu.

Ziraeli Mtoa Roho ana sisi WaTz, Kazi tunayo..!
 
Back
Top Bottom