Dar: ‘Houseboi’ adaiwa kumnyonga bosi wake hadi kufa

Sasa kusema jina la mtuhumiwa limehifadhiwa jamii itadaidiaje yeye kupatikana bila kupata jina lake?

Mleta mada wewe jambazi au ? Weka jina lake hadharani watu wanaomjua waweza kuwa wengi na eleza atakayemuona ataarifu dimu namba ipi au kituo Cha polisi

Aliyeuawa unamtaka jina halafu muuaji unasema jina lake limehifadhiwa huo ni ujinga
 
Atakuwa kasepa na pesa za mafao
Theory nyingi hapo yawezekana kijana alikuwa akifanya mapenzi na huyo Mama wamejifungia ndani mume kurudi akagonga akakuta hawafungui kwa kunogewa akaruka ukuta akachungulia dirishani akawakuta live kijana akatoroka kwa kuruka ukuta mume akanyonga mkewe na kusingizia kijana au aweza kuwa aliua wote kijana na mke kijana akamficha kwingine

Hili la kuficha jina la huyo kijana Lina ukakasi wamtaje tu
 
Usikute kijana alijaribu kumbaka maza hausi.
Maana vijana wa siku hizi wana genye za 5G.
Akikamatwa huyo muuaji naye auliwe.
Tumechoka wangese kama hao duniani.
 
Kaka humuogopi ibilisi?
Mi hausgel ikinawiri inakuaga mitihani. akitoka kuoga amevaa khanga nyumba nzima inatingishika kuanzia vijana, mother house mpaka dingi.
Unajimilikisha ila mother house asijue ila inapendezaga na kunawiri kuliko mother house
 
Huu umri wa kustaafu uangaliwe tena. Mkunga wa miaka 56 uzowefu wake wa kazi unaweza kuwa msaada mkubwa katika jamii pia kuwafundisha wakunga wapya.
Unajuaje alikuwa hafanyii ujuzi wake...kustaafu no kuacha kuajiriwa,haimaniishi kuacha kufanya kazi
 
Huu umri wa kustaafu uangaliwe tena. Mkunga wa miaka 56 uzowefu wake wa kazi unaweza kuwa msaada mkubwa katika jamii pia kuwafundisha wakunga wapya.
Kustaafu kwa mujibu wa Sheria=60
Kustaafu kwa hiari=55
Siku hizi wengi Wana - opt 55
 
Kaka humuogopi ibilisi?
Mi hausgel ikinawiri inakuaga mitihani. akitoka kuoga amevaa khanga nyumba nzima inatingishika kuanzia vijana, mother house mpaka dingi.
Sasa mother house anatingishikaje Jamani?
 
Pole sana kwa familia hiyo, pia Kuna funzo hapa tuachane na hawa vijana wa kazi Kama haina ulazima sana.
 
Theory nyingi hapo yawezekana kijana alikuwa akifanya mapenzi na huyo Mama wamejifungia ndani mume kurudi akagonga akakuta hawafungui kwa kunogewa akaruka ukuta akachungulia dirishani akawakuta live kijana akatoroka kwa kuruka ukuta mume akanyonga mkewe na kusingizia kijana au aweza kuwa aliua wote kijana na mke kijana akamficha kwingine

Hili la kuficha jina la huyo kijana Lina ukakasi wamtaje tu
Inawezekana sana, huyo mume wa marehemu ahojiwe vizuri au uchunguzi wa kina unahitajika
 
Back
Top Bottom