Kweli Simba inapigwa vita nimeamini

kilambon

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
212
250
Shomari kapombe hawezi kujiangusha kitoto vile!! mchezaji aliyemsukuma amekiri kuwa kweli alimsukuma ila anadai eti hakumsukuma kwa nguvu! DUH!

Waandishi, wachambuzi hata wadau wa mpira wengine ni wapenzi wa SIMBA wamekuwa against mwamuzi na simba!! Kisa wanataka ku- balance ile penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo.

Nadhani mada hapa ingekuwa ni kuwahoji Azam TV ambao wanashindwa kuleta picha zinazo onyesha angle nzuri ambazo zingeweza Kuzuia MABEZO na MAKEJELI haya yote toka kwa watu ambao hawaitakii mema SIMBA.
 
Seth saint

JF-Expert Member
Oct 27, 2020
420
1,000
Kwenye replay ya Azam jana na clip zao zinaonesha kama jamaa alifunga bila kumsukuma Kapombe,sema swali lina baki kuwa kama ni kweli Kapombe hakusukumwa ile namna alivyoanguka ndio bado inafikirisha. Sema kikubwa Simba kashinda jana hakuna maelezo zaidi ya kusema kabeba point tatu jana
 
devijoy

JF-Expert Member
Oct 25, 2018
808
1,000
Iwe kweli ama uongo,

Jana simba imecheza kama team ya mchangani, coach alimuongeza mzamiru na nyoni team ipate balance katikati ndo kwanza waliendelea kupwaya.

Onyango jana aliku hovyoo saana. Kama Simba wanataka kurudi kwenye kiwango ni wakati sasa wa kuwaacha Erasto Nyoni, Bocco, Mzamiru,Onyango, Wawa,Gadiel,Ajibu.

Kapombe asiwe wa kutegemea atafutiwe mbadala mwenye uwezo mkubwa.

Apatikane na striker mzuri nje ya hapo tutajifariji ila hao wachezaji viwango vyao vimegota.
 
This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
3,139
2,000
Kwenye replay ya Azam jana na clip zao zinaonesha kama jamaa alifunga bila kumsukuma Kapombe,sema swali lina baki kuwa kama ni kweli Kapombe hakusukumwa ile namna alivyoanguka ndio bado inafikirisha.Sema kikubwa Simba kashinda jana hakuna maelezo zaidi ya kusema kabeba point tatu jana
mchezaji alihojiwa kasema alimsukuma lkn si kwa nguvu.

Stori umeisha! Next match Red Arrows
 
Mwadilifu Mdhulumiwa

JF-Expert Member
Jul 22, 2021
271
500
Shomari kapombe hawezi kujiangusha kitoto vile!! mchezaji aliyemsukuma amekiri kuwa kweli alimsukuma ila anadai eti hakumsukuma kwa nguvu! DUH!

Waandishi, wachambuzi hata wadau wa mpira wengine ni wapenzi wa SIMBA wamekuwa against mwamuzi na simba!! Kisa wanataka ku- balance ile penalty aliyopewa Yanga dhidi ya Namungo.

Nadhani mada hapa ingekuwa ni kuwahoji Azam TV ambao wanashindwa kuleta picha zinazo onyesha angle nzuri ambazo zingeweza Kuzuia MABEZO na MAKEJELI haya yote toka kwa watu ambao hawaitakii mema SIMBA.
Upo sahihi kabisa mkuu! Mwamuzi alikuwa makini kabisa shida ni Camera ya Tv haikuolionyesha lile tukio vizuri lakini kuna clip hata hapa jukwaani imeshatupiwa inaonyesha vizuri kabisa mfungaji alitenda madhambi kabla ya kufunga lile bao na kuna watu wameshaiona lakini wanatoa povu mpaka vijichembe vya kande vinaruka toka vinywani mwao!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
182,960

mchezaji aliyemsukuma amekiri kuwa kweli alimsukuma!
 
changaule

JF-Expert Member
Jan 10, 2020
1,764
2,000
Upo sahihi kabisa mkuu! Mwamuzi alikuwa makini kabisa shida ni Camera ya Tv haikuolionyesha lile tukio vizuri lakini kuna clip hata hapa jukwaani imeshatupiwa inaonyesha vizuri kabisa mfungaji alitenda madhambi kabla ya kufunga lile bao na kuna watu wameshaiona lakini wanatoa povu mpaka vijichembe vya kande vinaruka toka vinywani mwao!
Hakuna clip humu inayoonesha mgusano bali watu wameweka tu picha. Ni ngumu kupata clip inayoonesha mgusano kwasababu Azam Tv ndio warushaji wa mechi na replay zao zote zimechukua angle hizo hizo tulizoona na kufanyiwa replay hivyo hivyo. Hakuna video yoyote mitandaoni inayoonesha mgusano wa hao wachezaji wawili
 
Mwadilifu Mdhulumiwa

JF-Expert Member
Jul 22, 2021
271
500
Hakuna clip humu inayoonesha mgusano bali watu wameweka tu picha. Ni ngumu kupata clip inayoonesha mgusano kwasababu Azam Tv ndio warushaji wa mechi na replay zao zote zimechukua angle hizo hizo tulizoona na kufanyiwa replay hivyo hivyo. Hakuna video yoyote mitandaoni inayoonesha mgusano wa hao wachezaji wawili
Utopolo mko wabishi sana hata mchezaji mwenyewe kakiri kusukuma Kapombe wewe bado unamwaga povu!
 
0ozg Tz

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,086
2,000
Upo sahihi kabisa mkuu! Mwamuzi alikuwa makini kabisa shida ni Camera ya Tv haikuolionyesha lile tukio vizuri lakini kuna clip hata hapa jukwaani imeshatupiwa inaonyesha vizuri kabisa mfungaji alitenda madhambi kabla ya kufunga lile bao na kuna watu wameshaiona lakini wanatoa povu mpaka vijichembe vya kande vinaruka toka vinywani mwao!
Matusi
 
The Conscious

Senior Member
Mar 18, 2021
151
250
achana na video , fuatilia mahojiano na yule mchezaji wa geita. Alikiri alimsukuma lkn siyo kwa nguvu sana. Alimsukuma kidogo.

Hayo ndiyo majibu , mengine yote porojo tu. kapombe alisukumwa.
Kwenye mpira mtu akiruka header alaf wew ukamsukuma hata kidogo lazma asogee mbele aanguke
Kwaiy kama jamaa alikiri kuwa alimsukuma japo kidogo basi ameshamaliza,point ni kuwa alimsukuma referee kaona bas kaweka faul
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom