Wana JF samahani naomba kujua namna ya kujiunga na open university na taratibu Huwa zipoje ikiwa Mimi ni mfanya kazi na mwajili wangu kagoma kunipa full time ili nikasome, na natamani kujiendeleza kielimu.
NB. Elimu yangu ni Form 4.
Nawasilisha kwenu, Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.