Mfahamu Bibi. Titi Mohamed na issue ya kutaka kuipindua serikali

Hujamuelezea vya kutosha yaani km Cv ya house girl alizaliwa kijijini hapa akaenda town akafanya kazi akafa.Eeeenh huyu Bibie unaweza mwandikia kitabu kizima
 
Nimesoma na kurdia rudia mara kadhaa ili nielewe hasa nini mantiki ya hu UZI; hakika hadi sasa bado sijaelewa. Anyway, nadhani ni mpango wa Mungu mimi kutokueelewa hu uzi
 
Historia yake full ipo jikoni soon itakuwa mezani.
Tukae mkao wa kujiandaa
Nakumbuka kabla ya kifo chake alifanyiwa mahojiano na chombo kimoja cha habari juu ya historia yake. Alieleza mengi isipokuwa maisha yake alipokuwa jela na mkasa wa kutaka kupindua serikali ya Nyerere.
 
Uwe unaongeza nyama basi kwenye simulizi/makala zako.... historia haitoshi
Alizaliwa wapi,elimu yake ikoje, watoto wake, aliingiaje kwenye siasa, hayo mapinduzi aliyafanyaje, harakati zake.

1962 alifungwa, 1972 akasamehewa 2000 akafariki haitoshi mzee baba
Ulikua mchepuko wa Mwalimu,,chanzo Cha kutaka kupindua serikali wivu wa kimapenzi unatajwa..kutolewa kwake ,na kupewa heshima ya barabara to be named after her name yote yanaingia humo..
 
Back
Top Bottom