Recent content by Babumawe

  1. Babumawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulijuaje una date na wakishua bila mwenyewe kukuambia

    •Mimi Kuna siku tumbo liliunguruma akasema nifundishe na Mimi •Siku nyingine akaniambia eti nikimuacha atakunywa maji ya mvua afe •Juzi hapa akaniambia anatoka mara moja kumbe kaenda dubai
  2. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Unaanza tambo sio
  3. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hahaha
  4. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Mliokimbia DAR acheni kutusumbua kila muda mnapiga simu kuulizia

    Hawa jamaa wanataka sie ndo tuwe chambo
  5. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Mliokimbia DAR acheni kutusumbua kila muda mnapiga simu kuulizia

    Ndugu zetu mliopanda mabasi na kutokomea mikoani huko ebu acheni kupiga piga simu kuulizia hali ya huku, sisi sio mareporter kwaio mlivoondoka huku mlitegemea nani ataingia barabarani
  6. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hizo ni paramilitary institution soma vizuri
  7. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Majibu ya saili nyingi yanaanza kutoka January, hii ni according ya moja ya source ya kuaminika sana kutoka PSRS
  8. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ni sahihi si wanahitaji pia na mtu wa certificate
  9. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sijui
  10. Babumawe

    JamiiForums Tanzania D9 on the way: Haya ndio matukio 10 kutokea hayatosahaulika tangia tupate uhuru

    Haiwezi kuizidi October 29, 2025
  11. Babumawe

    JamiiForums Tanzania D9 on the way: Haya ndio matukio 10 kutokea hayatosahaulika tangia tupate uhuru

    2011: kikombe cha babu wa loliondo kilitikisa sana hata yule Raisi aliyekuwa role model wenu alifika kule
  12. Babumawe

    JamiiForums Tanzania D9 on the way: Haya ndio matukio 10 kutokea hayatosahaulika tangia tupate uhuru

    1984: Ajari ya gari na kupelekea kifo cha Moringe Sokoine, waziri mkuu wa Tanzania kipindi hicho aliupiga mwingi sana
  13. Babumawe

    JamiiForums Tanzania D9 on the way: Haya ndio matukio 10 kutokea hayatosahaulika tangia tupate uhuru

    Haya ni matukio 10 yaliyowahi kutokea na kutikisa nchi tangu.Hayo ndo matukio ambayo sio rahisi kufutika na kusahaulika vichwani mwa watanzania walio wengi. yapo kwa mpangilio kuanzia namba 10 mpaka namba 1. kama kuna tukio lingine limesaulika ongezea. 10•••1982: Ndege ya Air Tanzania...
  14. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu Rais kapatwa na nini atuambie. Si kawaida yake kutosafiri nje ya nchi kwa muda mrefu hivi

    Si alienda arusha au we upo nchi gani
  15. Babumawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    January ndo kutakuwa na placement za kutosha we vuta subira kwa sasa
Back
Top Bottom