Recent content by Babu wa kota

  1. B

    JamiiForums Tanzania Maana sahihi ya Mzinifu na Malaya ni ipi?

    Mzinifu ni mtu anaefanya tendo la ndoa nje na yule alieekeana nae agano la ndoa kiufupi, yule anaefanya tendo la ndoa nje na yule aliemuoa, au nje na yule alieolewa nae. Umalaya ni uzinifu uliokomaaa sana.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyepitisha Katiba ya Rais kuwekewa kinga?

    Kinga ya raisi, ilianza tangu mwanzo haya mambo yaliopoanza, kwa bwana mmoja mwenye upeo wa mbali kuwazidi wenzie, akiamini mfumo wa siasa wa vyama vingi kwa nchi yetu baada ya uhuru, ingekua tatizo kutokana na uchache wa walio elimika kwa watu wake, kwaio Hawa waliofata walifatisha mfumo ambao...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mafanikio Halisi: Watu au Vitu?

    Kwa mtazamo wangu, hakuna kipimo sahihi au point ambayo ukifika ndo uonekane umefanikiwa, Bali mafanikio ya mtu anayajua mtu mwenyewe ingawa watu wengi hupima mafanikio kwa mtazamo wa vitu vinavoonekana kwa mtu huyo ingawa, muonekano wa nje unaweza kua indicator ya kuonesha mafanikio.. Hivyo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Apata mimba ghafla akiwa madhabahuni kwa Mwamposa

    Wanajuhudi katika kumuabudu mungu, lakini si katika maarifa, iliandikwa mahala fulani kwenye biblia.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu hakuwahi kuombea Mgonjwa?

    Okay ni Sawa nimekupata, lakini biblia inatusimulia wakati Fulani wakati yesu alipoenda mlimani kuomba, akawachagua watatu, Petro, yohana na yakobo, wanafunzi wengine walibaki chini ya mlima, Sasa kama umavojua alipo yesu watu hukusanyika kwa ajili ya kuponywa matatizo yao., akaja mzee aliemleta...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yesu hakuwahi kuombea Mgonjwa?

    Huu ni mtazamo........ Kwanza kabisa nini kinakujulisha kama yesu alikua hakemei au afumbi macho??, biblia yako ina onesha video??, au inatoa sauti za wahusika...??, achana nayo twende kwenye maandiko injili ya yohana 21:25 anasema, hata dunia isingetosha kama aliyoyafanya yesu wakisema...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hazina yako iko wapi......?

    Si umeona huyo mwizi aliesulubiwa, pia hazina alizoiba kaziacha. Sasa peleka hazina zako kule ambako hutaweza kutengana nazo milele.
Back
Top Bottom