Recent content by Babu Swahili

  1. B

    Je, Ruge Mutahaba ni Mtanzania?

    Eti kweli? Kwa kuwa kazaliwa na wazazi wahaya basi kunamfanya yeye mhaya pia, hata kama kazaliwa nje ya nchi. Ninawajua baadhi ya watanzania ambao wamezaa watoto wao Marekani, halafu watoto hao wakabakia na uraia wa huko. Je nao ni watanzania pia? Fikiria!
  2. B

    Je, Ruge Mutahaba ni Mtanzania?

    Ndahani, umeelewa nilichoandika? Mimi nimeuliza kama ni Mtz kutokana na uzaliwaji Marekani. Kwa hiyo, sina uhakika kama ni Mtz au la. Mimi kuhoji uraia wake hauna uhusiano wowote na matatizo yangu. Hoja yangu ni katika kuangalia jinsi gani system yetu ya uraia inavyofanya kazi.
  3. B

    Je, Ruge Mutahaba ni Mtanzania?

    Kwa hiyo kusoma, kuishi, na kufanya kazi Tanzania kunamfanya mtu awe rais wa Tanzania? Well, inaweza kuwa ni majungu yenye hadhi ya kujunguliwa. Au vipi?
  4. B

    Je, Ruge Mutahaba ni Mtanzania?

    Kahuna shida yangu. Swala ni kuhoji haki ya Ruge kuishi na kufanya kazi Tanzania, kama vile tunavyohoji uraia wa baadhi ya watu tunaowatilia mashaka uhalali wao wa kuishi na kufanya kazi Tanzania.
  5. B

    Je, Ruge Mutahaba ni Mtanzania?

    Rege Mutahaba ni mkurugenzi wa Tanzania House of Talents (THT). Hivi karibuni alifanya interview na blog ya Mo. Nime quote swali na jibu la kwanza kabisa hapo chini. Unaweza kusome interview mzima kupitia...
  6. B

    Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya Chicago, U.S.A.

    Naona taratibu Wabongo tunajisogeza kwenye hulka ya Wanaija. Inasemekana wabongo watatu zaidi huko Chicago wanashikiliwa na poilisi kwenye hii ishu. Ukweli kuhusu kesi yenyewe ni huu hapa chini:
  7. B

    Management Lesson

    Johnny wanted to have sex with Sophia in his office, but she belonged to someone else... One day, Johnny got so frustrated that he went up to her and said, 'I'll give you a £100 if you let me make love 2 you. But the girl said 'NO'. Johnny said, 'I'll be fast. I'll throw the...
  8. B

    Nimekubali JK ni taifa kubwa!

    Yaani mpaka kwenye soccernet anatokea.... tena akiwa anakabidhiwa uzi wa timu moja maarufu na mtu mmoja maarufu kutoka nchi maarufu duniani. Nimekubali...wacha akwee mapipa tu kila leo..!!! Hebu jionee mwenyewe kwenye link Ex-PM Tony Blair says Newcastle's situation is a "tragedy" -...
  9. B

    Mmenuna nini?

    Hapana si zangu. Nimezinyofoa sehemu sehemu. Wakati mimi nafunga pingu za maisha, meza na viti havikuwa vinapangwa katika mzunguko. Enzi zangu, viti (hakuna meza) vilikuwa vinapangwa kwenye "rows"....kwa hiyo usiwe na wasiwasi. Yaani we acha tu. Halafu sijui raisi wetu anatoa wapi korodani...
  10. B

    Mmenuna nini?

    Watanzania tunaonekana kama tuna uzuni muda wote. Sio kwenye magari tu. Angalia albam ya picha za harusi au sherehe nyingine iliyokusanya watu. Asilimia kubwa ya watu kwenye picha wanatoka wamenuna. Utaona meza imekaliwa na watu kama sita hivi, lakini wote wametoka wamenuna kana kwamba...
  11. B

    Kulikoni wanaume wa Zenji....???

    Ati nasikia kuna ligi ya netiboli ya wanaume Zenji.... Astighafurilahi... Picha kwa hisani ya Michuzi Blog
  12. B

    Gov. Sanford - The best Love Letters of the Decade

    Alibambwa akiwa anashuka kutoka kwenye ndege Atlanta airport. Alidanganya kuwa anakwenda kwenye some moutains (nimesahau), kumbe amekwea ndege mpaka Argentina. Sasa katika kipindi chote alichoondoka, alikuwa hapatikani kwenye simu. Kumbe yuko kwa small housi Amerika ya kusini. Unajua hii...
  13. B

    Gov. Sanford - The best Love Letters of the Decade

    A picture of thought to be Governor's mistress, Maria
  14. B

    Gov. Sanford - The best Love Letters of the Decade

    This series of email letters were written between Gov. M. Sanford (South Calorina) and his Argentinian mistress. Mr. Governor is such a smooth chatterer Long but interestingly readable....
  15. B

    chemsha bongo!...maths question

    Kelly01 sasa una cheat.... Let Original Gas Price = $2 New Price = 2 + (2 * 0.25) = $2.50 Let Origanal Quantity = 15 gallons Original Total Cost = 15 * 2 = $30 New Cost = 15 * 2.5 = $37.50 Ron's Intention To Spend = 30 + (30 * 0.15) = $34.50 So, with the new price ($2.5), he...
Back
Top Bottom