Kulikoni wanaume wa Zenji....???

Babu Swahili

Member
Jan 8, 2009
41
6
Ati nasikia kuna ligi ya netiboli ya wanaume Zenji....

babu-swahili-albums-various-picture527-netball.jpg


Astighafurilahi...

babu-swahili-albums-various-picture526-man.jpg


Picha kwa hisani ya Michuzi Blog
 
-bwa ha ha ha mchezo wa Abdulhalim.......rusheni tufe wazenji mgangamale.....
 
Hayo madogo tu makubwa yana nafuu,Kuna na sumsumia pale Malindi, ushaona mwanamme anafungwa kanga ww?
 
Mhhhhhh,ikoje hii sumsumia mkuu.....Zenji bwana,mdebwedooooooooooooooo
Hii Mkuu habari zake kubwa, nkudokezee tu ni mambo ya kuzunguka duara na kufuata mlio wa ngoma na kofi za pamoja, huku ukitikisika juuu!! chini!! juu!! chini!! huku wanaume wakikungurumia....aaah..mmmhhh!!!
 
Mbona hizo sura ni ngeni hapa zanzibar au ndio yo????isijekluwa mtowa maoni kakusidia voli voli ulemchezo unaochezwa kwa mikono any way karibuni zenj , mbali ya sunsumia inayochezwa pale malindi pia kuna sifa ya simba kunyweshwa chai.jihadhari jiti na mcho.
 
Twawakaribisha Zenj. Malindi- Simba amenywesha chai- na wazee wacheza dhuna pale.
Wanasema zile seruni zinawatisha eti mtu katinga seruni yake halafu anakukaribisha kahawa anakwambia kesha kulipia, upowe usiwe na wasiwasi kama unataka na kashata chukuwa na kikombe chengine cha kahwa atakuongeza bureee, wewe kunywa tu. He! Malindi! Simba na ukali wake kawa mtiifu.
 
Kama ni netiboli inatokana na upumbavu wa kuiga.

Na kama kweli hivi sasa tunayashabikia haya mengineyo kama wasiokuwa na uongofu, sisi Wazenji, basi laana ya Mwenyezi Mungu itushukie. Kusafishwa na tsunami ni bora zaidi kulikoni kuuendeleza au kuushabikia uchafu wa liwati na wale ambao eti wanajiita waislamu. Kuushabikia kiasi kwamba yule anayesema against anaonekana mdini au inam-bidi aone haya, afunge mdomo. Hiyo sio Zenji, labda New Orleans au Sydney. Bahati nzuri au mbaya, Wazenji wengi ambao wangekuwa against hawana access na vyombo vya mitandao. Mjijue nyinyi Wazenji ambao mna access ya kulitandaza jambo ukiwa Kikwajuni, Kwahajitumbo au Kwahani na kufumba na kufumbua tayari linasomwa Tokyo, New York, Uholanzi au Johanesburgh mmo katika mtego, tena mtego m-baya sana kama msipokuwa makini. Mwenyezi Mungu atuongoze.

Yapo kweli tangu zamani, kila mtu anajua, lakini hayajawahi kushabikiwa. Wakati wote kule Zenji hata hao wanaoyafanya wanajijua kwamba wana defect, wana madhambi na adhabu inawasubiri isipokuwa watubu na toba yao ikubaliwe.

Samahani nimezungumza kwa ulaini na kupoza sana.
 
Waswahili husema raha ya ngoma ingia ucheze kwa hiyo hebu nendeni huko zenj mkajionee ni kweli au..................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom