Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya Chicago, U.S.A. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya Chicago, U.S.A.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babu Swahili, Sep 10, 2009.

 1. B

  Babu Swahili Member

  #1
  Sep 10, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona taratibu Wabongo tunajisogeza kwenye hulka ya Wanaija.

  Inasemekana wabongo watatu zaidi huko Chicago wanashikiliwa na poilisi kwenye hii ishu.

  Ukweli kuhusu kesi yenyewe ni huu hapa chini:

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 10, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Something is fishy....but I can't put my finger on it!!!
   
 3. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mbona mashitaka ni ya mtu mmoja? Yule aliyetumiwa mzigo vipi?
   
 4. BooSt3D

  BooSt3D Senior Member

  #4
  Sep 11, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hii wanaitaje? hustle flow? au hustler in the making?

  B.
   
 5. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wasiombe kuwekwa jela za huko USA walionesha kipindi cha jela za huko vipi zinakuwa, kuna baadhi ya jamaa walikuwa wanahojiwa na kusema walipo ingia jela walikuwa ni wanaume shababi, lakini walipotoka walitoka hali si ya ujanadume tena mmoja alisema kuna jamaa mmoja humo jela alipofika tu alimwambia wewe ni wangu alimshika kwa nguvu na kumgeuza kuwa kama mke wake alipotoka ni baradhuli la kutupwa .
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,948
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Asavali niwe MLAVUMBI kuliko........Kisa kusaka maisha ili nami wanikome bongo
   
 7. O

  Ogah JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mazee vipi jina hilo, rudisha jina lako bana.....
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Vijana mliopo huko nje ya nchi hebu kuweni watulivu kwanza, msijiingize kwenye biashara zisizokuwa halali. Nafuu mtu ukapigike kufanya kazi kwenye warehouse kuliko kujiingiza kwenye vitu vyenye risk kama hayo madawa ya kulevya. Waachieni wenyewe haswa hao black maana hao ndio wengi ni drug dealers wanatumiwa sana na wazungu, na mwisho hao ndio wanaishia jail.
   
 9. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  I heard somewhere that the higher the risk the higher the return and vice versa!
   
 10. M

  Magezi JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  kama huna wanao kutegemea ili waishi ruksa kujitosa popote lakini likibuma usilalamike.
   
Loading...