Recent content by Babu mzee...

  1. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Ziara za Mhe. Edward Lowassa Mkoani

    Ng'ombe siyo N'gombe!
  2. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Vitu vinavyosababisha upungufu wa nguvu za kiume

    Huyu mtu ni bure tu. Watu wale nini sasa ?! Tena hana shule kabisa. Nahisi ni M-SDA au maarufu kama Msabato!!
  3. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni kama Mwalimu Nyerere

    Afungwe pia mzee wajisenti. Tibaijuka na majaji waliopokea mgao wa Escrow.
  4. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Picha: Mpambe wa Rais akiingia bungeni na bahasha yenye jina la Waziri mkuu mteule

    CCM ni ile ile, Oo ni ile ile!!
  5. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kwanini utuulize hisia zetu?! Dr Magufuli anajua nani atamfaa. Tumpe muda apange.
  6. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kustaafu rasmi Novemba 5, 2015

    Abunuas must be crazy in his head. Apelekwe Mirembe Hosp.
  7. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Mihimili ya Mahakama na Bunge Tz si independent. Huwajibika kwa Utawala. Kesi itaamuliwa baada ya Oktoba 25!!
  8. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Haya hapa makundi matatu muhimu yanayoiunga mkono CCM

    Mtu wa buku 2.
  9. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Kujitoa kwa Mwapachu CCM, Sababu hizi hapa

    Japuony wewe umeahidiwa nini?
  10. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Counting Down: Lowassa na Dr. Magufuli, mpambano wa karne

    Kwa sasa Edo yuko Bunda. Watu wanakanyagana walao kumwona tu zile mnvi zake. He's the 5th Tz president for sure!!
  11. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Regina Lowassa na ukabila kwenye kampeni

    Mleta uzi ni mburura tu. Lowassa ni Mmasai. Mkewe ni Mrangi wa Kondoa. Kaonyesha ukabila UPI kwa Wachaga? Mapadlock anasemaga yaya bhagosha jukwaani. Mburura hasemi. Maharage ya soya yanamsumbua.
  12. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Mama Regina lowassa asimamisha Mji wa moshi kwa takribani masaa mawili

    Mnatuchanganya. Msafara wa nani ulikuwa kabambe-wa mapadlock au wa 1st lady Regina?! Peoples'.....ccm ziiii!!
  13. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na ubunifu wa kubeba watu

    Ccm ndo vinara wa mbinu hii. K. N. Mwiru saaafiiii !!
  14. Babu mzee...

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya house girl

    Hopeless thread! Delete it !!
Back
Top Bottom