Haya hapa makundi matatu muhimu yanayoiunga mkono CCM

Namuunga mkono magufuli lakini siyo CCM. Hapo nimefika nataka mpigie wabunge na madiwani upinzani lakini huyu rais napenda aje aongoze kwa serikali ya umoja wa kitaifa (Mseto)
 
na hilo kundi la kwanza KWA kweli ndio mtaji wa ccm maana kunaviongozi na mabalozi wanatembea na kuwadanganya NYUMBA KWA NYUMBA wanawaambia mambo ya uongo wakiona hajitambui lakini ni mbishi anataka mabadiliko basi wanamdanganya KWA style hii wanamwambia ccm ni wezi wa kula ukipiga kura yako kwa lowasa itahamia KWA magufuri kwahiyo kuwa mjanja piga KWA magufuri ili ihamie KWA lowasa na aina nyingine ya udanganyifu ni kuwa KWA kuwa karamu za kupigia wino ukipiga huwa zinafutika sasa cha msingi wewe toboa kabisa ili isifutike.

na washenzi wengine wakiona unasema ww ukawa na haeleqi basi wanamwambia ukifika ww weka tiki KWA maraisi wote wa upinzani ili ukawa ishinde
 
Nimejaribu kufanya utafiti wangu na nimegundua ccm inaungwa mkono na makundi 3 yafuatayo:

1. Kundi la kwanza ni la watz ambao hawajielewi na wala hawajui ni kwa nini wanaipigia chapuo ccm. Hawa ukiwauliza kwa nn watamchagua mgombea wa ccm?? Majibu yao utasikia;bora tuwape hao hao tuliowazoea..au tunaogopa tukiwapa upinzani itatokea vita. Ki-msingi majibu ya aina hii ni ya mtu aliyekata tamaa,ni wa kumhurumia.

2. Hili ni kundi la wafaidika na mfumo-ccm. Hawa wanahofu na nafasi zao za utumishi kuwa shakani km ccm itaondolewa madarakani. Hawa ni wale wanaoishi kwa dili,hawa wako tayari kutumia kila walichonacho kuhakikisha ccm inabaki. Hili ndo kundi kubwa,linalojumuisha viongozi,wagombea na hata wafanyabiashara wanaonufaika na mfumo wa sasa wa utendaji serikalini.

3. Hili ni kundi lenye nongwa na Lowassa. Kundi hili linaongozwa na Mzee Mwanakijiji Dr.W.Slaa na mkewe. Hawa viongozi wa kundi hili,hata ukiwasikia wanachopinga km una akili,utajua kwamba ni WIVU ndo unawasumbua. Hivi kweli hata kwa akili ya kawaida tu,unawezaje kumkataa mtu ambae amekubali akiingia ataanzisha upya mchakato wa katiba?? Katiba ndo nguzo muhimu ktk utawala wa nchi. Bahati nzuri,wameishia kupata aibu karibu kwa kila kitu walichojaribu kufanya kufifisha harakati za mabadiliko.

Tar.25.october ndo watajua wote hao juu ya nguvu ya lowassa na ukawa.

Nawasilisha.

Umetusahau na sisi wazalendo tuko pamoja na Magufuri
 
Last edited by a moderator:

Kumuunga mkono lowasa kwa kipindi hiki ni ukosefu wa shukran kw Mungu na watanzania wapenda maendeleo na tena ni ukichaa. Wewe ndiyo hujitambui na tena uko usingizini fofofo unless uwe unalipwa kwa haya uliyoyaandika kisha utasamehewa.
 
Last edited by a moderator:
kuna mwingine nilikutana naye anauza genge anasema yeye hataki kabisa kusikia mabadiliko kwani mabadiliko ni ww mwenyewe yy kabadilika anajituma kuuza genge anabishana kweli kweli

Kwa maelezo yake utafikiri ukawa watamzuia kuuza genge lake endapo wataongoza.
 
Kundi la NNE ni la watu wanaopinga ufisadi wa Lowasa na Mbowe ambao unaripotiwa na makundi tofauti ya wana ukawa chadema!
 
Waumini wa dini mbalimbali na hata wapagani kwa kuwa Magufuli amewahakakikishia kujenga umoja

Hahahahaaa hahahaaa mambo mengine bhana
 
Attachments

  • 1445435492649.jpg
    1445435492649.jpg
    7.5 KB · Views: 349
kuna mwingine nilikutana naye anauza genge anasema yeye hataki kabisa kusikia mabadiliko kwani mabadiliko ni ww mwenyewe yy kabadilika anajituma kuuza genge anabishana kweli kweli

Na mm nilkutana na mmoja muuza genge alinikera huyo,anakwambia mabadiliko Ni yy mwenyewe ,kufanya kazi kwa bidii okay hatukatai ila mfumo wa serikali unachangia kwa % kubwa,mwisho wa ck nilimwambia chagua ccm na uendelee kupambana uone hayo mabadiliko,
 
Post ya kikuda tu. Unataka ķila mtu afikiri km wewe bogus kabisa
Hata mume anachoka staili moja lazima umpe staili tofauti tofauti, Sera zenu ccm ndo hizohizo kila awamu ...safari hii talaka 3 inawahusu.... ...hamfai hata kurumangia....
 
na hilo kundi la kwanza KWA kweli ndio mtaji wa ccm maana kunaviongozi na mabalozi wanatembea na kuwadanganya NYUMBA KWA NYUMBA wanawaambia mambo ya uongo wakiona hajitambui lakini ni mbishi anataka mabadiliko basi wanamdanganya KWA style hii wanamwambia ccm ni wezi wa kula ukipiga kura yako kwa lowasa itahamia KWA magufuri kwahiyo kuwa mjanja piga KWA magufuri ili ihamie KWA lowasa na aina nyingine ya udanganyifu ni kuwa KWA kuwa karamu za kupigia wino ukipiga huwa zinafutika sasa cha msingi wewe toboa kabisa ili isifutike.

na washenzi wengine wakiona unasema ww ukawa na haeleqi basi wanamwambia ukifika ww weka tiki KWA maraisi wote wa upinzani ili ukawa ishinde

Wanajitahidi kufanya hujuma lkn mwaka huu imekula kwao,
 
kuna mwingine nilikutana naye anauza genge anasema yeye hataki kabisa kusikia mabadiliko kwani mabadiliko ni ww mwenyewe yy kabadilika anajituma kuuza genge anabishana kweli kweli
Hao ndo kundi la kwanza mkuu,ni wabishi hatari! Ni matokeo ya kukata tamaa,ccm imewaondolea mpaka uwezo wa kufikiri. Mwaka huu wanakombolewa..!
 
Nimejaribu kufanya utafiti wangu na nimegundua ccm inaungwa mkono na makundi 3 yafuatayo:

1. Kundi la kwanza ni la watz ambao hawajielewi na wala hawajui ni kwa nini wanaipigia chapuo ccm. Hawa ukiwauliza kwa nn watamchagua mgombea wa ccm?? Majibu yao utasikia;bora tuwape hao hao tuliowazoea..au tunaogopa tukiwapa upinzani itatokea vita. Ki-msingi majibu ya aina hii ni ya mtu aliyekata tamaa,ni wa kumhurumia.

2. Hili ni kundi la wafaidika na mfumo-ccm. Hawa wanahofu na nafasi zao za utumishi kuwa shakani km ccm itaondolewa madarakani. Hawa ni wale wanaoishi kwa dili,hawa wako tayari kutumia kila walichonacho kuhakikisha ccm inabaki. Hili ndo kundi kubwa,linalojumuisha viongozi,wagombea na hata wafanyabiashara wanaonufaika na mfumo wa sasa wa utendaji serikalini.

3. Hili ni kundi lenye nongwa na Lowassa. Kundi hili linaongozwa na Mzee Mwanakijiji Dr.W.Slaa na mkewe. Hawa viongozi wa kundi hili,hata ukiwasikia wanachopinga km una akili,utajua kwamba ni WIVU ndo unawasumbua. Hivi kweli hata kwa akili ya kawaida tu,unawezaje kumkataa mtu ambae amekubali akiingia ataanzisha upya mchakato wa katiba?? Katiba ndo nguzo muhimu ktk utawala wa nchi. Bahati nzuri,wameishia kupata aibu karibu kwa kila kitu walichojaribu kufanya kufifisha harakati za mabadiliko.

Tar.25.october ndo watajua wote hao juu ya nguvu ya lowassa na ukawa.

Nawasilisha.

Mimi naamini kwamba hata ww unatambua kwamba chadema haina mgombea sahihi kwa wakati huu, kimsingi ni hatari sana kuchagua watu ambao walikuwa wanatuhumia na ni wazi Tanzania nzima inatbua hilo na nchi za nje, umetumia akili ya samaki, naamini pia ww umekaririshwa maneno haya.

Huwezi kusema wanaoichagua ccm ni wajinga, ukweli kwamba wana akili timamu na uwezo mkubwa sana kuliko chadema kuanzia wazee hadi vijana wa umri wa miaka18. Ukichukua wafuasi wa chadema 80% hawajui ni kwanini wanataka kuichagua chadema, wengi nimekutana nao na ukiwauliza kwann unataka kuichagua chadema, majibu ni kwamba hatuna kazi Lowasa ametuahidi kazi, ukiwauliza elimu zao wanakwambia ni drs la saba, ukiwauliza tena ss ni kazi gani mnategemea kupewa? majibu kazi yoyote ile. Hao ndo wafuasi wa chadema, bado ukiwauliza nn faida ya kuchagua rais kuliko wabunge, majibu ni kwamba rais ni zaidi ya wabunge kwani rais ndo atawapa ajila. hao ndo wafuasi wa chadema.

Ni aibu sana kwa nchi kama tanzania kuwa na watu wa namna hiyo alafu wajinga wachache wanasema eti wanaochagua ccm ni wajinga, huwezi kuwa na matumaini makubwa kwa kitu ambacho hujawahi kukiona, hatujawahi kuona chadema ikitawala nusu ya majimbo Tanzania, ilikuwa na wanunge 27 na hawakufanya maendeleo kwenye majimbo yao, je leo ukiwapa urais ndo wataweza?

Nimesema kuwa ww mwenye uzi huu una kichwa kama cha samaki kwa sababu zifuatazo:-
1: Mbowe alisema kwamba inabidi wachukue wazoefu kutoka ccm kwani wao hawana uzoefu wa kuongoza serikali- kayasema mkutano mkuu.

2:Mbowe alisema kwamba hawezi kumwacha mtu mwenye mtaji wa watu wengi kama Lowasa, kwani utakuwa ni ujinga mkubwa.

3:Mbowe na wenzake wanaamini kuwa tume si huru, je ni kwann wanashiriki hizi chaguzi?

Haya ni machache ambayo yakuonyesha ww na wenzio mlivyo na vichwa kama vya samaki, ukiona mwenyekiti wa chama anazungumza hivo na bado watu wakapiga makofi pwa pwa pwa, basi ujue kuwa mburula ni wengi sana. Kwa mawazo haya ya mwenyekiti wa chadema ni wazi hawana uwezo wa kuongoza serikali pamoja na muungano wao, bado hawakuwa na uwezo huo, maana yake ni kwamba, miaka yote walikuwa wanashiriki kama ushahidi tu, na mazuzu yalikuwa yanashangilia sana mengine yakawa yanasema kuwa yanaibiwa kura kumbe haikuwa sahihi. Basi Mbowe angetumia hekima sana kutafuta watu ambao wangemsaidia kuongoza serikali yao ambayo ingekuwa ya waadilifu-lakini co ya Lowasa na genge lake. hawa walipata nyadhifa kubwa sana hizi siku za karibuni na wanakili kuwa hakuna kilichofanyika wakati wakiwa mawaziri wakuu, kwa msingi huo bado mawzo yao ni finyu sana kwa wao kutuvusha hapa.
 
Umeandika maneno meengi lkn cha maana hakuna,lkn pia umedhihirisha nilichokionyesha ktk kundi la kwanza! Bahati mbaya ww unadhani unajua kumbe hujui na hujui kwamba hujui..! Km huwezi kuamini kitu ambacho hujawahi kukiona ina maana huna amini pia km kuna Mungu??

Unasema wabunge 27 hawajafanya chochote,unajua kazi ya mbunge?? Km unaijua umepata wapi ujasiri wa kukosoa wabunge wa upinzani ambao ndo wamefanyakazi za ki-bunge kwa 100%. Tutakukomboa kwa lazima tar.25.october. kushabikia ccm lazima uwe na akili km zako,za kufikiri mbunge ajenge barabara,hispital,maji nk. Sijui wajibu wa serikali ni nini!!?? Sikushangai bali nakuhurumia.
 
Kundi la 3 Polepole linamhusu

kuna wachambuz wa mitandao uchwara walidhan wao ni maarufu kumbe ni fb na twittwer tu kama hao polepole, sarungi etc njaa kali tupu cjui baada ya uchaguz wataenda wap
 
CCM mmekaa kiujanja ujanja sana...

Yaani pona ya CCM ni ujinga wa Watanzania, mwaka huu kama kweli Watanzania wataichagua CCM hakika tusahau maendeleo kwa miaka mingi mno...

Ni mara kumi kura akapewa Hashim Rungwe lakini sio kuirudisha CCM kupitia mgongo wa Magufuli...

Kundi muhimu la wanawake ambapo ccm imewaletea Samia Suluhu na hata kwenye mikutano ya CCM wanawake hujaa sana
 
Mimi naamini kwamba hata ww unatambua kwamba chadema haina mgombea sahihi kwa wakati huu, kimsingi ni hatari sana kuchagua watu ambao walikuwa wanatuhumia na ni wazi Tanzania nzima inatbua hilo na nchi za nje, umetumia akili ya samaki, naamini pia ww umekaririshwa maneno haya.

Huwezi kusema wanaoichagua ccm ni wajinga, ukweli kwamba wana akili timamu na uwezo mkubwa sana kuliko chadema kuanzia wazee hadi vijana wa umri wa miaka18. Ukichukua wafuasi wa chadema 80% hawajui ni kwanini wanataka kuichagua chadema, wengi nimekutana nao na ukiwauliza kwann unataka kuichagua chadema, majibu ni kwamba hatuna kazi Lowasa ametuahidi kazi, ukiwauliza elimu zao wanakwambia ni drs la saba, ukiwauliza tena ss ni kazi gani mnategemea kupewa? majibu kazi yoyote ile. Hao ndo wafuasi wa chadema, bado ukiwauliza nn faida ya kuchagua rais kuliko wabunge, majibu ni kwamba rais ni zaidi ya wabunge kwani rais ndo atawapa ajila. hao ndo wafuasi wa chadema.

Ni aibu sana kwa nchi kama tanzania kuwa na watu wa namna hiyo alafu wajinga wachache wanasema eti wanaochagua ccm ni wajinga, huwezi kuwa na matumaini makubwa kwa kitu ambacho hujawahi kukiona, hatujawahi kuona chadema ikitawala nusu ya majimbo Tanzania, ilikuwa na wanunge 27 na hawakufanya maendeleo kwenye majimbo yao, je leo ukiwapa urais ndo wataweza?

Nimesema kuwa ww mwenye uzi huu una kichwa kama cha samaki kwa sababu zifuatazo:-
1: Mbowe alisema kwamba inabidi wachukue wazoefu kutoka ccm kwani wao hawana uzoefu wa kuongoza serikali- kayasema mkutano mkuu.

2:Mbowe alisema kwamba hawezi kumwacha mtu mwenye mtaji wa watu wengi kama Lowasa, kwani utakuwa ni ujinga mkubwa.

3:Mbowe na wenzake wanaamini kuwa tume si huru, je ni kwann wanashiriki hizi chaguzi?

Haya ni machache ambayo yakuonyesha ww na wenzio mlivyo na vichwa kama vya samaki, ukiona mwenyekiti wa chama anazungumza hivo na bado watu wakapiga makofi pwa pwa pwa, basi ujue kuwa mburula ni wengi sana. Kwa mawazo haya ya mwenyekiti wa chadema ni wazi hawana uwezo wa kuongoza serikali pamoja na muungano wao, bado hawakuwa na uwezo huo, maana yake ni kwamba, miaka yote walikuwa wanashiriki kama ushahidi tu, na mazuzu yalikuwa yanashangilia sana mengine yakawa yanasema kuwa yanaibiwa kura kumbe haikuwa sahihi. Basi Mbowe angetumia hekima sana kutafuta watu ambao wangemsaidia kuongoza serikali yao ambayo ingekuwa ya waadilifu-lakini co ya Lowasa na genge lake. hawa walipata nyadhifa kubwa sana hizi siku za karibuni na wanakili kuwa hakuna kilichofanyika wakati wakiwa mawaziri wakuu, kwa msingi huo bado mawzo yao ni finyu sana kwa wao kutuvusha hapa.
Mkuu hongera umeiitahidi kujibu kwa hoja na ndo ukweli wenyewe ulioandika.
 
Back
Top Bottom