Mama yuko gado. Anapiga kampeni kwenda mbele...
Mimi ni msukuma na mkatoliki, nitampigia kura Lowasa mmasai na mluteri tena mwenye mke mchaga. Sitampigia kura yule wa kanda yetu ya ziwa
Yaani kura kwa Lowassa duhu nolo bhakayomba kinehe.Wabheja sana wangw'ise kashinaga tuli binge geke?
Kwani ni nani amekukataza kumpigia kura mmasai na mlutheri? Mbona hiyo ni haki yako. Unamtangazia nani sasa.Mimi ni msukuma na mkatoliki, nitampigia kura Lowasa mmasai na mluteri tena mwenye mke mchaga. Sitampigia kura yule wa kanda yetu ya ziwa
tunaona hiyo kila mahali. kila mangi ni cdm hakuna cha sera wala hoja ila umangi tu. hoja ya ufisadi wala utawala bora hakuna tena.
Hii familia gani mbona ni shiiiida.
[video=youtube_share;0Tl48gwQN84]http://youtu.be/0Tl48gwQN84[/video]
Mleta uzi ni mburura tu. Lowassa ni Mmasai. Mkewe ni Mrangi wa Kondoa. Kaonyesha ukabila UPI kwa Wachaga? .
ok tusubiri oct 25. issue sio marope ila wananchi watasema kwa sauti kubwa 'hapana' kwa ukawa. ikulu ni mahali patakatifu.Mgombea wenu kaogopa ballot box....ameenda kuunda jopo la wasaka tonge,Ngosha kaingizwa mkenge na February Marope wa Bumbuli mtt wa yusuph
Regina Lowassa mke wa mgombea urais CHADENA wiki iliyopita alijikuta akirudia makosa yanayokemewa na wanaolitakia mema Taifa pale alipofanya kampeni za ukabila wakati akiwaomba kura wanawake wa mjini Moshi.
Akiwa kwenye viwanja vya uhuru park kuzungumza na wanawake wa chadema aliwataka kuwasiliana na ndugu zao kokote waliko na kuwahimiza kumpigia kura mzee.
Alisema "wewe una ndugu yako Mtwara,una ndugu yako Lindi mwambie atafutekura zake kule.Najua kuwa ninyi mna ndugu zenu sehemu nyingi maana hata kijijini kwetu wachaga wapo"Hii ina maana kwamba aliwataka wachaga kuwasiliana na wachaga wenzao kokote waliko na kuwahamasisha kumpigia kura Lowassa.
Gazeti la Raia Tanzania Toleo Na 0482