Recent content by Babu Msomali

  1. Babu Msomali

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

    Hakuna bus ambalo haliingii Magufuli terminal. Ni Lazima yaingie labda liwe limekodiwa .. Ally's mara nyingi sana saa 4 - 5 usiku anaingia Mwanza...kuchelewa pia kupo maana kuna kuharibika pia sometimes.
  2. Babu Msomali

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

    Zuberi na Kisesa wote kampuni moja hao na basi zao ni nzuri sana..... Ila kama mtu wa kupenda mbio nenda na Ally's afu ukutane na DXS series..kuna hiyo DXS 360..Huo Moto unaomwagwa hapo ni balaaa.
  3. Babu Msomali

    JamiiForums Tanzania Msamaha wa Malimbikizo ya Riba ya Kodi ya Ardhi, Kuna Walakini Mahali

    Nahisi huyo aliyejibu hivo hakuwa na uelewa wa kutosha kwenye hilo swala, hiyo kitu ipo kweli nakushauri kama hukuridhishwa na majibu yake sogea ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Kilimanjaro ipo jengo la TRA mule Ndani utasaidiwa vizuri..
  4. Babu Msomali

    JamiiForums Tanzania Namlilia Ekwueme

    Inasemekana ni Domestic Violence, ndoa yake haikua katika hali nzuri..
  5. Babu Msomali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepeleka mahari unyamwezini

    Ilibidi kabla hujaenda uombe minutes za kikao kilichopita ili upate muongozo.
  6. Babu Msomali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepeleka mahari unyamwezini

    1.5m mbona kubwa sanaa kiongozi? Kikao chetu cha mwaka Jana tulikubaliana bei elekezi ni 500k.
  7. Babu Msomali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Vijana wa hovyo mnajadiliana Mambo ya hovyo hovyo..
  8. Babu Msomali

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kizazi cha Nyegezi
  9. Babu Msomali

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    We Numbisa wewe..
  10. Babu Msomali

    JamiiForums Tanzania Hongera dereva unayetoa tangazo mwendokasi

    Mpe na maji ya kunywa kwanza apozee koo.
  11. Babu Msomali

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua huu ugonjwa Anal Fissure anisaidie mawazo

    Fanya na kapicha hapo tuone tunaanzia wapi kukushauri.
  12. Babu Msomali

    JamiiForums Tanzania Huu mchoro una maana gani? Una siri gani?

    Kwani huo mchoro wenyewe unasemaje?
  13. Babu Msomali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli hii style ya kungonoka huwa inawaumiza wadada?

    Cariha
  14. Babu Msomali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli hii style ya kungonoka huwa inawaumiza wadada?

    Pussy kujamba haihusiani kabisa na bwawa wala kibamia.. jaribu kupigwa pump za kutosha bila kuchomoa rungu afu mwamba achomoe kama sek 2 afu aingize tena, pump ya kwanza tu lazima pussy ijambe maana hewa inakua ishaingia ndan tayari.
Back
Top Bottom