Hongera dereva unayetoa tangazo mwendokasi

Hongera dereva unayetoa tangazo mwendokasi

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,393
Reaction score
4,669
Nimepanda mwendokas Kimara - Kivukoni kwa sisi wagen wa Dar es Salaam huwa tunapasikia Kivukon sasa nimesuuzika kusikia tangazo dereva anasema tulianza safar yetu majira kadhaa na sasa tumefika tunashkuru mungu. Suala zuri kushukuru kwa akil za bodaboda wa sa ivi mkifika salama kushukuru.
 
Nitarudi tena hapa kwa ajili ya Michango ya WADAU tu
 
Nimerudia kusoma kama vile COMPREHENSION segment kwenye NECTA form 4 English Language Final Exam, na sijaelewa kitu.

Wewe uliyeandika Mungu anakuona.
 
Alipanda Basi kwenda Kivukoni, ila hakuwa anapafahamu Kivukoni penyewe. Hivyo Dereva alivyotangaza kwamba tumemaliza Safari ndiyo huyu mwenzetu akapata kujua kwamba amefika Kivukoni..

Sasa tusubiri stori ya kurudi Kimara.
Asante kwa ufafanuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom