Recent content by Babu mdogo

  1. B

    Ratiba ya ziara ya Tundu Lissu barani Ulaya na Marekani hii hapa

    Watz muwe na akili serikali si taifa!!!! Serikali ikifanya usenge sisi wananchi ambao ndo taifa tunawakosoa hata ikibidi kuwatoa madarakani!!! Wananchi ndo taifa!! Hatuwezi kuwa na rais ambae anafikiri yeye ndo ana haki na kila kitu wengine wote manyau!!!!! Vija hawaajiriwi, wafanyakazi...
  2. B

    Je wanaJf tukialikwa Ikulu tutamwambia? Au tutarudi kusema walienda kina Jingalao tu?

    Walioko humo ikulu tu ni pumba tosha tayari!!!!! Intainywaaa kichaaa!!!
  3. B

    Je wanaJf tukialikwa Ikulu tutamwambia? Au tutarudi kusema walienda kina Jingalao tu?

    We akili imedumaa kweli unaona tu ruzuku ya chadema ambayo ni kama ml.332 za ccm unajua ni kiasi gani? Anazoiba magufuli kupitia kampuni uchwara kujenga uwanja chato??? Hakuna rais jambazi kama Magufuli buy my words mtakuja nambia!!!! Tusipoacha ushabiki wakijinga tukamkemea!!!! CCM mnajukumu...
  4. B

    Hongera Kikwete kwa Kutuachia Profesa Assad

    Hawawezi chochote!!!! Weakness, kasoro, mapungufu si dharau hata kidogo!!!! Pia CAG kule hakuwa matembezini still alikuwa akitimiza majukumu yake!!! Bunge ni dhaifu sana kuliko kipindi chochote!! Wanapelekwa pelekwa na Mr.Munguful. Rejea alivyotishia kufukuza wabunge wa kusini kisa kutetea...
  5. B

    Hongera Kikwete kwa Kutuachia Profesa Assad

    Magufuli mwizi huyu??? Miaka yote hakuna hajira !! Wafanyakazi mishahara yao ileile ya kikwete na promotion zao zimesimama!! Na wengine alistopisha nyongeza ya mishahara yao mipya kwa kisingizio cha uhakiki miaka miwili baadae wakanyang'anywa barua zao za promotion na kupewa barua mpya...
  6. B

    Yaliyojiri katika Mkutano kuhusu uchambuzi wa Muswada marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa uliowasilishwa Bungeni

    HaKuna kitu kinacho kosa upande!! Ukweli au uwongo, nia njema na ovu!!!!! Huna upande basi kichwa chako ni zero!!!!!yaani msajiri awe na uwezo wa kuadhibu vyama vya siasa, na ni mteule wa rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm afu rais mwenyewe huyu magu??? Biased huyu ambae hata teuzi zake tu ngazi...
  7. B

    Yaliyojiri katika Mkutano kuhusu uchambuzi wa Muswada marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa uliowasilishwa Bungeni

    Akili huna ndugu!!! Wakiandandamana kumpongeza sawa wakiandamana !kulalamikaa vunja miguu!! Wase.... Wakubwa!!! Rais jogaaa utafikiri hakushinda kihalali 2015???
  8. B

    Hakika mwanamziki wa Uganda Bobi Wine amekomaa Kisiasa, alichofanya Jamaica ni cha kupigiwa mfano

    B Bobwine kwa siasa za uganda na uwelewa wa raia wa uganda!! Huwezi mlinganisha na Tundu Lisu!! Bob wine mtu huru srategic pia ni maarufu kitambo kupitia shghuli zake na miradi yake inayogusa jamii!! Pia usisahau Bobi ni tajiri si kitotooo!!!
  9. B

    Ushauri: Tundu Lissu asiende kuhojiwa CNN kwa sasa

    Wewe ni **** hata uelewa wako ni mdogo unadhani anajipeleka??? Eti waingereza hawaelewi kilicho mpeleka nini?? Kama una dhani anajipeleka mwambie na mzee wa intpinywaaa ajipeleke!! Au Fara wenu Musiba!!! Wajinga watupu!!! Eti anajimaliza kupi huko zaidi ya zile risasi mlizotaka kummaliza...
  10. B

    Spika Ndugai: Lissu asubiri Muziki wangu

    Mbona huna akili wewe?? Wapi panatetewa ushoga? Isipokuwa tunasema katiba inatoa haki ya faragha ya binadamu!!! Hujui kuwa mme na mke yaani mama ako na baba yako wana uhuru wa kuamua wafanye mapenzi kwa stahili yeyote watakayo si ndo faragha yao?? Sasa serikaki ianze kukaguwa vitanda vya watu...
  11. B

    Spika Ndugai: Lissu asubiri Muziki wangu

    Kama kuna msomi anae hoji uzalendo wa lissu kwa kuelezea dunia hsyo yalomkuta!!! Basi atakuwa ni msomi punda kabisa!! Ajaribu yamkute yalomkuta lissu tena atandikwe tu kijiwe cha jichoni afu tuuone huo uzalendo!!! Mtu kaumizwa kiasi kile serikali na wapambe wake wanatoa kauli za kejeli vile afu...
  12. B

    Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

    Unaongea utumbo unajua masharti alopewa Museven na serikali yake kuhusu Bobwine au unaropoka tu!! Afterall ina maana hizi tabia za kifashst za kuonea na kutesa watu unakubaliana nazo??? Yuko wapi Ben saa 8? Mnaposaini mikataba ya kimataifa na kuchukuwa mikopo si mabeberu eeh? Ila wanapoelezwa...
  13. B

    Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

    Injustice somehwere is injustice everywhere!!! Upeo mdogo hii serikali ya vichavichaa ikipaswa ikemewe ili warudi kwenye akili zao za hawali. Hatatumaliza asotupenda!nthen ataanza na nyie mnaodhani anawapenda kumbe hata hawajui!!! Shabikieni tu ushenziiii!!!!!
  14. B

    Benjamin Mkapa on BBC HardTalk (Video)

    Ndugu unaandika ujinga ku expose umbumbumbu wako!!! Ushaidi wa kimazingira unakubalika mahakamani na unafunga mtu!!! Hujui maana ya hardtalk ndo maana unadhani eti mzungu ni mzalendo eti anakubaliana na "Mungufuli".
Back
Top Bottom