Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Weee Dr Bana na huyo profesa uchwara huyu aliyeiba tillioni 1.5 ndio mzalendo hata aibu hamuoni.
Kwani ulitegemea nini kutoka kwa wasomi hao. Katiba inavunjwa waziwazi, vyama vya siasa vinanyimwa haki wanajifanya hawaoni. Wao walionyamaza kimya aliposhambuliwa mchana kweupe, akanyimwa gharama za matibabu ndio hawana hadhi ya kumjadili.View attachment 1002791
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema atatoa ufafanuzi na maelezo kuhusu ubunge wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), Januari 31, mwaka huu. Katika hatua nyingine; mahojiano baina ya Lissu na mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Stephen Sackur yaliyofanyika juzi, yameendelea kuzua mijadala tofauti kwa baadhi ya wasomi nchini kudai kuwa hatua ya kiongozi huyo kuisema vibaya nchi yake ni ukosefu wa uzalendo.
Spika Ndugai aliliambia gazeti hili kupitia kwa Katibu wa Spika wa Bunge, Said Yakubu kuwa atatolea ufafanuzi kuhusu mbunge huyo siku tisa kutoka leo. “Spika amesema na unaweza kumnukuu kwamba atatoa ufafanuzi kuhusu masuala yote yanayohusu ubunge wa Lissu Januari 31, mwaka huu,” alisema. Yakubu alisema Spika amekia hatua hiyo ya kutoa ufafanuzi kuhusu hatma ya Mbunge huyo kutokana na hatua yake ya Mbunge huyo kuendelea na ziara katika nchi mbalimbali za Ulaya.
Hivi karibuni kulikuwa na uvumi kwamba Spika Ndugai anataka kumvua ubunge Mbunge wa Singida Mashariki kutokana na kutokuwepo bungeni tangu 2017 na hasa kutokana na kuanza kufanya ziara katika nchi za Ulaya. Awali katika mahojiano aliyofanya na vyombo vya habari, Spika Ndugai alisema hajui kama kuna mkakati wa kumvua ubunge, lakini kwenye hoja ya utoro alikiri kuwa ni kweli Lissu ni mtoro.
“Kila mtu anajua Lissu ni mgonjwa na anapata matibabu Ubelgiji, sasa ukisikia ametoka Ubelgiji na kwenda sijui Uingereza na Spika hana taarifa na analipwa mshahara, huyo mtu ni mtoro, mwambieni arudi nyumbani kama ameshapona,” alisema Ndugai. Katika mahojiani hayo, Spika Ndugai alisema Lissu anapaswa kutambua kuwa hana ruhusa ya kuzurura nje ya nchi. Mbunge Lissu aliondoka nchini Septemba 7, mwaka 2017 baada ya kupigwa risasi takribani 30 na watu wasiojulikana nyumbani kwake jijini Dodoma na kwenda kutibiwa Nairobi kwa miezi minne na baadaye alikwenda nje ya nchi kuendelea na matibabu.
Mbunge huyo alipelekwa Ubelgiji, Januari 6, 2018 kupata matibabu katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, Campus ya Gasthuisberg, mjini Leuven, nchini Ubelgiji. Awali Bunge na Serikali walisema hawakuweza kugharamia matibabu ya mbunge huyo kwa sababu hakufuata utaratibu rasmi wakati akisarishwa nje ya nchi kwa matibabu. Wasomi wampinga Katika hatua nyingine mahojiano baina ya Lissu na Sackur yaliyofanyika juzi katika kituo hicho cha habari, yamezua mijadala tofauti kwa baadhi ya wasomi nchini kudai kuwa hatua ya kiongozi huyo ni ukosefu wa uzalendo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hili jana, Kaimu Mkuu wa Chuo Cha Diplomasia Dk Bernald Achiula na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dk Bansen Bana, walisema kimsingi hatua hiyo licha ya kwamba ni haki yake kikatiba kuzungumza, inamuondolea hadhi aliyokuwa nayo kwa Watanzania. Lissu ambaye ni Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani nchini, alialikwa na mtangazaji huyo katika kipindi cha Hardtalk. Katika mahojiano hayo Lissu alihojiwa kuhusu mambo mbalimbali likiwemo la kushambuliwa kwake, utendaji wa Rais John Magufuli, usimamizi katika Sekta ya Madini, ushoga na mengineyo, na alijikuta akishindwa kujibu maswali ya mtangazaji huyo na badala yake kumshambulia Rais Magufuli na serikali yake kwa kila swali alilokuwa akiulizwa. Kaimu Mkuu wa Chuo cha Diplomasia Dk Achiula alimtaja mwanasiasa huyo kuwa ni mtu aliyekosa uzalendo kwa taifa lake kwa kushindwa kuchuja kauli zake mbele ya mataifa mengine ambayo kimsingi baadhi yao yanaweza kuwa na ajenda zenye mlengo wa chuki na Tanzania. “Si jambo zuri hata kidogo, ni sawa na mwanafamilia unatoa mambo ndani ya nyumba yako na kwenda kuyapeleka nje, kwa utamaduni wetu wanafamilia hata wakitofautiana hukaa chini na kuyamaliza, suala hili si zuri kiutamaduni bali hata kisiasa pia,” alisema Dk Achiula.
Alisema hata viongozi katika mataifa mengine ya nje si kwamba hawatofauti au hawana mambo wanayoyalalamikia ndani ya mataifa yao isipokuwa wanajua ni vipi wataweza kuyazungumza ila si kwa utaratibu alioutumia kiongozi huyo anayesika hapa nchini kwa kujenga hoja mbalimbali. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dk Bana mbali na kusisitiza kuwa Lissu kakosa uzalendo kutokana na tukio hilo, na kwamba kwa kuwa pia amejinadi kutaka kuwania nafasi ya urais, anapaswa ajitathimini kama anatosha kutokana na hatua yake hiyo.
Alisema yeye kama kiongozi aliyejijengea imani kwa watu, alipaswa kuwa makini na si kuongea kama mamluki kwa kuzungumza maneno hayo ya kichochezi na kueleza nini malengo ya kauli hizo huku akisisitiza kwa kitendo hicho kiongozi huyo kajiondolea sifa za kuwa kiongozi. Dk Bana alisema hata viapo mbalimbali alivyoapa kiongozi huyo kikiwemo kiapo cha Ubunge, kinamtaka kuwa mzalendo na kwamba kwa hatua hiyo aoneshe wazi mahali ulipo uzalendo wake.
Poleni sana. CDM hamuiwezi kwenye level ground. Hata huo mswada utawafaa kwa muda. Sawa makaburu SA.Mlitoa kauli kama hizi wakati Mwenyekiti wenu alipokuwa anaidharau Mahakama. Yuko wapi sasa hivi!?
Vipi maagizo ya mwenyekiti hayawezi sababisha pia Lisu apoteze ubunge?Maagizo ya mwenyekiti wenu ya kutaka mbowe aishi kama shetani yametekelezwa
kimisingi suala la lissu n ukosefu wa uzalendo...binafsi nmeshangazwa Sana na kitendo cha yy kua anaulizwa maswal badala ya kijibu anasukumiza mpira kwa rais magufuli..View attachment 1002791
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema atatoa ufafanuzi na maelezo kuhusu ubunge wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), Januari 31, mwaka huu. Katika hatua nyingine; mahojiano baina ya Lissu na mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Stephen Sackur yaliyofanyika juzi, yameendelea kuzua mijadala tofauti kwa baadhi ya wasomi nchini kudai kuwa hatua ya kiongozi huyo kuisema vibaya nchi yake ni ukosefu wa uzalendo.
Spika Ndugai aliliambia gazeti hili kupitia kwa Katibu wa Spika wa Bunge, Said Yakubu kuwa atatolea ufafanuzi kuhusu mbunge huyo siku tisa kutoka leo. “Spika amesema na unaweza kumnukuu kwamba atatoa ufafanuzi kuhusu masuala yote yanayohusu ubunge wa Lissu Januari 31, mwaka huu,” alisema. Yakubu alisema Spika amekia hatua hiyo ya kutoa ufafanuzi kuhusu hatma ya Mbunge huyo kutokana na hatua yake ya Mbunge huyo kuendelea na ziara katika nchi mbalimbali za Ulaya.
Hivi karibuni kulikuwa na uvumi kwamba Spika Ndugai anataka kumvua ubunge Mbunge wa Singida Mashariki kutokana na kutokuwepo bungeni tangu 2017 na hasa kutokana na kuanza kufanya ziara katika nchi za Ulaya. Awali katika mahojiano aliyofanya na vyombo vya habari, Spika Ndugai alisema hajui kama kuna mkakati wa kumvua ubunge, lakini kwenye hoja ya utoro alikiri kuwa ni kweli Lissu ni mtoro.
“Kila mtu anajua Lissu ni mgonjwa na anapata matibabu Ubelgiji, sasa ukisikia ametoka Ubelgiji na kwenda sijui Uingereza na Spika hana taarifa na analipwa mshahara, huyo mtu ni mtoro, mwambieni arudi nyumbani kama ameshapona,” alisema Ndugai. Katika mahojiani hayo, Spika Ndugai alisema Lissu anapaswa kutambua kuwa hana ruhusa ya kuzurura nje ya nchi. Mbunge Lissu aliondoka nchini Septemba 7, mwaka 2017 baada ya kupigwa risasi takribani 30 na watu wasiojulikana nyumbani kwake jijini Dodoma na kwenda kutibiwa Nairobi kwa miezi minne na baadaye alikwenda nje ya nchi kuendelea na matibabu.
Mbunge huyo alipelekwa Ubelgiji, Januari 6, 2018 kupata matibabu katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, Campus ya Gasthuisberg, mjini Leuven, nchini Ubelgiji. Awali Bunge na Serikali walisema hawakuweza kugharamia matibabu ya mbunge huyo kwa sababu hakufuata utaratibu rasmi wakati akisarishwa nje ya nchi kwa matibabu. Wasomi wampinga Katika hatua nyingine mahojiano baina ya Lissu na Sackur yaliyofanyika juzi katika kituo hicho cha habari, yamezua mijadala tofauti kwa baadhi ya wasomi nchini kudai kuwa hatua ya kiongozi huyo ni ukosefu wa uzalendo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hili jana, Kaimu Mkuu wa Chuo Cha Diplomasia Dk Bernald Achiula na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dk Bansen Bana, walisema kimsingi hatua hiyo licha ya kwamba ni haki yake kikatiba kuzungumza, inamuondolea hadhi aliyokuwa nayo kwa Watanzania. Lissu ambaye ni Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani nchini, alialikwa na mtangazaji huyo katika kipindi cha Hardtalk. Katika mahojiano hayo Lissu alihojiwa kuhusu mambo mbalimbali likiwemo la kushambuliwa kwake, utendaji wa Rais John Magufuli, usimamizi katika Sekta ya Madini, ushoga na mengineyo, na alijikuta akishindwa kujibu maswali ya mtangazaji huyo na badala yake kumshambulia Rais Magufuli na serikali yake kwa kila swali alilokuwa akiulizwa. Kaimu Mkuu wa Chuo cha Diplomasia Dk Achiula alimtaja mwanasiasa huyo kuwa ni mtu aliyekosa uzalendo kwa taifa lake kwa kushindwa kuchuja kauli zake mbele ya mataifa mengine ambayo kimsingi baadhi yao yanaweza kuwa na ajenda zenye mlengo wa chuki na Tanzania. “Si jambo zuri hata kidogo, ni sawa na mwanafamilia unatoa mambo ndani ya nyumba yako na kwenda kuyapeleka nje, kwa utamaduni wetu wanafamilia hata wakitofautiana hukaa chini na kuyamaliza, suala hili si zuri kiutamaduni bali hata kisiasa pia,” alisema Dk Achiula.
Alisema hata viongozi katika mataifa mengine ya nje si kwamba hawatofauti au hawana mambo wanayoyalalamikia ndani ya mataifa yao isipokuwa wanajua ni vipi wataweza kuyazungumza ila si kwa utaratibu alioutumia kiongozi huyo anayesika hapa nchini kwa kujenga hoja mbalimbali. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dk Bana mbali na kusisitiza kuwa Lissu kakosa uzalendo kutokana na tukio hilo, na kwamba kwa kuwa pia amejinadi kutaka kuwania nafasi ya urais, anapaswa ajitathimini kama anatosha kutokana na hatua yake hiyo.
Alisema yeye kama kiongozi aliyejijengea imani kwa watu, alipaswa kuwa makini na si kuongea kama mamluki kwa kuzungumza maneno hayo ya kichochezi na kueleza nini malengo ya kauli hizo huku akisisitiza kwa kitendo hicho kiongozi huyo kajiondolea sifa za kuwa kiongozi. Dk Bana alisema hata viapo mbalimbali alivyoapa kiongozi huyo kikiwemo kiapo cha Ubunge, kinamtaka kuwa mzalendo na kwamba kwa hatua hiyo aoneshe wazi mahali ulipo uzalendo wake.
Poleni nyinyi kwa kuwa na Viongozi wa Chama (Taifa) wanaounga mkono na kutetea USHOGA.Poleni sana. CDM hamuiwezi kwenye level ground. Hata huo mswada utawafaa kwa muda. Sawa makaburu SA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasome tena tamko la serikali ya viwanda na korosho la kumruka Makonda kuhusu ushoga. Labda utapata akili.Poleni nyinyi kwa kuwa na Viongozi wa Chama (Taifa) wanaounga mkono na kutetea USHOGA.
Kuwa mhadhiri, kama ilivyo kuwa Dr au prof haina uhusiano na uwezo wa akili au hekima.View attachment 1002791
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amesema atatoa ufafanuzi na maelezo kuhusu ubunge wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), Januari 31, mwaka huu. Katika hatua nyingine; mahojiano baina ya Lissu na mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Stephen Sackur yaliyofanyika juzi, yameendelea kuzua mijadala tofauti kwa baadhi ya wasomi nchini kudai kuwa hatua ya kiongozi huyo kuisema vibaya nchi yake ni ukosefu wa uzalendo.
Spika Ndugai aliliambia gazeti hili kupitia kwa Katibu wa Spika wa Bunge, Said Yakubu kuwa atatolea ufafanuzi kuhusu mbunge huyo siku tisa kutoka leo. “Spika amesema na unaweza kumnukuu kwamba atatoa ufafanuzi kuhusu masuala yote yanayohusu ubunge wa Lissu Januari 31, mwaka huu,” alisema. Yakubu alisema Spika amekia hatua hiyo ya kutoa ufafanuzi kuhusu hatma ya Mbunge huyo kutokana na hatua yake ya Mbunge huyo kuendelea na ziara katika nchi mbalimbali za Ulaya.
Hivi karibuni kulikuwa na uvumi kwamba Spika Ndugai anataka kumvua ubunge Mbunge wa Singida Mashariki kutokana na kutokuwepo bungeni tangu 2017 na hasa kutokana na kuanza kufanya ziara katika nchi za Ulaya. Awali katika mahojiano aliyofanya na vyombo vya habari, Spika Ndugai alisema hajui kama kuna mkakati wa kumvua ubunge, lakini kwenye hoja ya utoro alikiri kuwa ni kweli Lissu ni mtoro.
“Kila mtu anajua Lissu ni mgonjwa na anapata matibabu Ubelgiji, sasa ukisikia ametoka Ubelgiji na kwenda sijui Uingereza na Spika hana taarifa na analipwa mshahara, huyo mtu ni mtoro, mwambieni arudi nyumbani kama ameshapona,” alisema Ndugai. Katika mahojiani hayo, Spika Ndugai alisema Lissu anapaswa kutambua kuwa hana ruhusa ya kuzurura nje ya nchi. Mbunge Lissu aliondoka nchini Septemba 7, mwaka 2017 baada ya kupigwa risasi takribani 30 na watu wasiojulikana nyumbani kwake jijini Dodoma na kwenda kutibiwa Nairobi kwa miezi minne na baadaye alikwenda nje ya nchi kuendelea na matibabu.
Mbunge huyo alipelekwa Ubelgiji, Januari 6, 2018 kupata matibabu katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, Campus ya Gasthuisberg, mjini Leuven, nchini Ubelgiji. Awali Bunge na Serikali walisema hawakuweza kugharamia matibabu ya mbunge huyo kwa sababu hakufuata utaratibu rasmi wakati akisarishwa nje ya nchi kwa matibabu. Wasomi wampinga Katika hatua nyingine mahojiano baina ya Lissu na Sackur yaliyofanyika juzi katika kituo hicho cha habari, yamezua mijadala tofauti kwa baadhi ya wasomi nchini kudai kuwa hatua ya kiongozi huyo ni ukosefu wa uzalendo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hili jana, Kaimu Mkuu wa Chuo Cha Diplomasia Dk Bernald Achiula na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dk Bansen Bana, walisema kimsingi hatua hiyo licha ya kwamba ni haki yake kikatiba kuzungumza, inamuondolea hadhi aliyokuwa nayo kwa Watanzania. Lissu ambaye ni Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani nchini, alialikwa na mtangazaji huyo katika kipindi cha Hardtalk. Katika mahojiano hayo Lissu alihojiwa kuhusu mambo mbalimbali likiwemo la kushambuliwa kwake, utendaji wa Rais John Magufuli, usimamizi katika Sekta ya Madini, ushoga na mengineyo, na alijikuta akishindwa kujibu maswali ya mtangazaji huyo na badala yake kumshambulia Rais Magufuli na serikali yake kwa kila swali alilokuwa akiulizwa. Kaimu Mkuu wa Chuo cha Diplomasia Dk Achiula alimtaja mwanasiasa huyo kuwa ni mtu aliyekosa uzalendo kwa taifa lake kwa kushindwa kuchuja kauli zake mbele ya mataifa mengine ambayo kimsingi baadhi yao yanaweza kuwa na ajenda zenye mlengo wa chuki na Tanzania. “Si jambo zuri hata kidogo, ni sawa na mwanafamilia unatoa mambo ndani ya nyumba yako na kwenda kuyapeleka nje, kwa utamaduni wetu wanafamilia hata wakitofautiana hukaa chini na kuyamaliza, suala hili si zuri kiutamaduni bali hata kisiasa pia,” alisema Dk Achiula.
Alisema hata viongozi katika mataifa mengine ya nje si kwamba hawatofauti au hawana mambo wanayoyalalamikia ndani ya mataifa yao isipokuwa wanajua ni vipi wataweza kuyazungumza ila si kwa utaratibu alioutumia kiongozi huyo anayesika hapa nchini kwa kujenga hoja mbalimbali. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dk Bana mbali na kusisitiza kuwa Lissu kakosa uzalendo kutokana na tukio hilo, na kwamba kwa kuwa pia amejinadi kutaka kuwania nafasi ya urais, anapaswa ajitathimini kama anatosha kutokana na hatua yake hiyo.
Alisema yeye kama kiongozi aliyejijengea imani kwa watu, alipaswa kuwa makini na si kuongea kama mamluki kwa kuzungumza maneno hayo ya kichochezi na kueleza nini malengo ya kauli hizo huku akisisitiza kwa kitendo hicho kiongozi huyo kajiondolea sifa za kuwa kiongozi. Dk Bana alisema hata viapo mbalimbali alivyoapa kiongozi huyo kikiwemo kiapo cha Ubunge, kinamtaka kuwa mzalendo na kwamba kwa hatua hiyo aoneshe wazi mahali ulipo uzalendo wake.
Ila kwa wakoloni weusi SAWA? UKOLONI hauna rangi.Yaani leo hii eti nianze kuwashadadia wazungu, sasa usomi wetu uko wapi, tumesoma ili tuendelee kuwatumikia wazungu.
Halafu watu humu wanajidai wanatafuta uhuru wa pili, Uhuru wa kutukabidhi tena kwa wakoloni weupe. Hapana
Kama kuna msomi anae hoji uzalendo wa lissu kwa kuelezea dunia hsyo yalomkuta!!! Basi atakuwa ni msomi punda kabisa!! Ajaribu yamkute yalomkuta lissu tena atandikwe tu kijiwe cha jichoni afu tuuone huo uzalendo!!! Mtu kaumizwa kiasi kile serikali na wapambe wake wanatoa kauli za kejeli vile afu wasema uzalendo!??? Uzalendo ni kumtetea mama ako ata kama ni mchawi na anakula nyama za watoto wa jirani!!!! Hachani uumbwaaa!!!!!Yeye ameisema vibaya nchi yake au amesema ukweli kuhusu yanayoendelea katika nchi yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wasomi ucharwa na spika wa Bunge kuhusu "utoro na uzururaji wa Lissu", wangejua nchi zote za continental Europe ulaya magharibi zinatosha kuenea ndani ya nchi moja ya DR Congo na bado nafasi inabaki. Maana yake ulaya hiyo kieneo ni ndogo.
Hivyo Mh.Tundu Lissu kutoka nchi moja kwenda nyingine kwa treni ya raha tupu (luxury) zenye mwendo kasi wa 200 kph haziathiri hali yake ya kuwa bado mgonjwa anayeendelea kusubiri mlolongo wa upasuaji na tiba ya mama -cheza za kisasa ambazo hazipo Tanzania.
Unajifanya we ndo unajali afya yake kuliko hata hao madaktari wake walo mruhusu??? Hachani unafiki!!! Mtakufa njaa jiwe linazisombea chato!!! Tunataka tilion 1.5 asituzuge !!!!! Kwa taarifa yako kutoka ubeligij kwenda london ni mwendo wa saa mbili tu!! Unadhani ni tren za mwakyembe zile????
Mbona huna akili wewe?? Wapi panatetewa ushoga? Isipokuwa tunasema katiba inatoa haki ya faragha ya binadamu!!! Hujui kuwa mme na mke yaani mama ako na baba yako wana uhuru wa kuamua wafanye mapenzi kwa stahili yeyote watakayo si ndo faragha yao?? Sasa serikaki ianze kukaguwa vitanda vya watu kuangalia wanafanya mapenzi ya stahili ipi!? Tunachokubaliana binadamu wote ni sawa mbele ya sheria!! Kama walivyo hao watesi wa lisu!!!! Wauwaji wa kubwa!!!basi na akitoa ya kumvua huyo mtetea ushoga ubunge nayo yatatekelezwa.