Hongera Kikwete kwa Kutuachia Profesa Assad

Michakato hii huwa ni siri sirini, aliyeleta majina alijuaje maana post zote za wakuu wenye security of tenure huwa hazotangazwi na kazi hizo haziombwi bali majina huwa shortlisted based on sifa na vigezo tena it just happened ...
P
I dont know how but uzi juu ya hii teuzi uliletwa hapa jukwaani kuwa JK 'anatembea na majina matatu mfukoni' kwa cheo cha CAG basi bila hiyana, tukachangia points kwenye ule uzi.
 
MAYALA,ALIPOMALIZA MUDA ALOONGEZWA MWAMUNYANGE HAPA HAPA WATU WALIKUWA WANADISCUSS AJAYE .MMOJA AKAROPOKA "Karibu Mabeyo" BAADA YA SIKU TATU HIVI Mabeyo AKATANGAZWA KWELI.
Kweli JF kiboko, ila kwa walio jeshini they could predict kwa sababu kikawaida akimaliza nafasi huchukuliwa na miongoni mwa wenye seniority, sasa mnapoona junior mmoja anachukuliwa huko chini na kupandishwa vyeo fasta fasta huku ma senior wapo, kisa ni kutoka the royal tribe, then watu wa ku guess wata guess na kupatia kama mimi hapa ninavyo guess CAG ajaye atatokea Chato.

Ok aksante sana wajina wangu Paaschal Mayala,kwa positive responce,junior kapanda bila kuzingatia seniority.
 
Nikiskia nasifiwa skuizi huwa nastuka sana.Tumepigwa mmmno enzi zahuyu muzee kuanzia madini,wanyama,uwekezaji,kampuni zasimu,mabenki,mashirika ya umma yaani wizi ulitanda kila kona. MTU huyu aliongoza kwa kutunukiwa maudaktari dabodabo na kila mzungu alimfurahia na walikuja kwa kugongana hapabongo. Lahaulaah!!! Kumbe alikuwa anatupeleka shimoni,sijui akiskia maelezo ya "tuliibiwa mmno" huwa anajiskiaje. Alafu kuna malofa bado wanamsifu
 
Hakika Mzee Kikwete pamoja na kutuacha vibaya kwa kutusukumizia baadhi ya viongozi (kama wanavyo kiri wenyewe) ila kwa kutuachia CAG mkweli na mcha Mungu asiye na muda wa kujikomba ulicheza kama Pele.
Hivi asingekuwa Assad huu wizi tunsoambiwa ume originate from patakatifu nani angejua?
Ila sasa wana haha kumchangsnya arudi nyuma
Katupa kitu kibaya na kizuri
 
Kweli JF kiboko, ila kwa walio jeshini they could predict kwa sababu kikawaida akimaliza nafasi huchukuliwa na miongoni mwa wenye seniority, sasa mnapoona junior mmoja anachukuliwa huko chini na kupandishwa vyeo fasta fasta huku ma senior wapo, kisa ni kutoka the royal tribe, then watu wa ku guess wata guess na kupatia kama mimi hapa ninavyo guess CAG ajaye atatokea Chato.
P
Kwani huyu ana mpango wa kutoka
 
Mlimuita dhaifu, Vasco da Gama, mlezi was mafisadi, mtalii, n.k. Leo hii mnamuita mwanademokrasia...tunawapeni tu muda
Kwani hizo sifa ulizotaja zinamnyima haki ya kuwa mwanademokrasia?
 
Ukiamua kutwanga ukweli basi mkuu hiyo inaitwa "msumali kwa nyundo nigonge"
Ila kuna wakati ukipiga K Vant mbayo kuna kila dalili imekukataa bora rudi tuu kwa John mtembezi au JD tuu
Chakaza utakua kama CAG kwamba umkweli sanaaa. Nawewe kugongelea unaweza
 
Acheni unafiki nyie kwani kipindi cha Richmond na Tegeta Escrow ilikuwa kipindi gani. Binadam wengi hatujakamilika . Hata Kwa kikwete mapungufu yalikuepo Mengi. Na Magufuli akimaliza mtampongexa tuu . Tena mtasema Bora Magufuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli mwizi huyu??? Miaka yote hakuna hajira !! Wafanyakazi mishahara yao ileile ya kikwete na promotion zao zimesimama!! Na wengine alistopisha nyongeza ya mishahara yao mipya kwa kisingizio cha uhakiki miaka miwili baadae wakanyang'anywa barua zao za promotion na kupewa barua mpya?! Maanake nini? Kuwadhulumu stahili zao za miaka miwili!!! Nchi imekuwa ya kikabila!!! Ipo siku tutamburuta!! Kwani lazima tuendelee kuwavumilia vichaaaa???
 
No hatoki Usukumani, atatoka Chato.
Tenure ya CAG Assad inaisha 2023. Ili mtu ateuliwe CAG lazima wakati wa uteuzi awe na 10 years kabla ya retirement age, sasa ili mtoka Chato aweze kuteuliwa, Assad had to go, hivyo walikuwa wanamlia timing ateleze mahali wamchinjie baharini, very unfortunately hii ya Udhaifu wa Bunge ni kweli, ila wanaweza kumbania kwenye vifungu vya maadili.
P.
Hawawezi chochote!!!! Weakness, kasoro, mapungufu si dharau hata kidogo!!!! Pia CAG kule hakuwa matembezini still alikuwa akitimiza majukumu yake!!! Bunge ni dhaifu sana kuliko kipindi chochote!! Wanapelekwa pelekwa na Mr.Munguful. Rejea alivyotishia kufukuza wabunge wa kusini kisa kutetea wakulima wakorosho!!! Mbona waliufyata?? Si udhaifu huo?? Ningekuwa mi ndo speaker Jiwe angeshangaa!!! Mshamba huyu jamaa yenu phd ya nini huyu??
 
Hakika Mzee Kikwete pamoja na kutuacha vibaya kwa kutusukumizia baadhi ya viongozi (kama wanavyo kiri wenyewe) ila kwa kutuachia CAG mkweli na mcha Mungu asiye na muda wa kujikomba ulicheza kama Pele.
Hivi asingekuwa Assad huu wizi tunsoambiwa ume originate from patakatifu nani angejua?
Ila sasa wana haha kumchangsnya arudi nyuma
Professor Assad kisiki cha mpingo huyu ni kiuongo muhimu sana katika kungoa ufisadi wa kimfumo ambao ndiyo ufisadi kongwe kwenye serikali nyingi barani africa, Latin America na baadhi za nchi za Asia.

Pia tukitaka vita dhidi ya ufisadi kuwa endelevu ishirikishe kila muhimili wa dola na kikamilifu, taasisi mbalimbali ikiwepo sekta binafsi ambo ndiyo wanaofanya biashara kubwa na taasisi za serikali kupitia zabuni mbalimbali ambapo huko fedha nyingi zauma zinapotea.
 
Assad ni mkweli daima na ndio mzalendo wa kweli wa Tanzania naamini muda utafika kuambiwa haya madudu yanayofanyika bila idhini ya Bunge tuombe uzima tuu...
 
Hakika Mzee Kikwete pamoja na kutuacha vibaya kwa kutusukumizia baadhi ya viongozi (kama wanavyo kiri wenyewe) ila kwa kutuachia CAG mkweli na mcha Mungu asiye na muda wa kujikomba ulicheza kama Pele.
Hivi asingekuwa Assad huu wizi tunsoambiwa ume originate from patakatifu nani angejua?
Ila sasa wana haha kumchangsnya arudi nyuma
Timu Kikwete wote watapukutishwa .
 
Usahaulifu ndio tatizo kuu linalotugharimu. Hivi ungeweza kuandika sifa hata punje ya JK enzi zile watu si wangekugawana hasa humu JF! Hilo jicho la mazuri yake mmejua baada ya kuondoka madarakani na itakuwa hivyo hivyo kwa huyu wa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ili tujue uzuri wa kitu au ubaya wake lazima kuwe na kipimo. Kumbuka ubaya una nguvu kuliko wema. JK kuna madhaifu yale yaliyokuwa yakipofusha watu kutoona mema yake. Hivyo, baadhi ya madhaifu ya JPM ndo yameng'arisha mema ya JK, watu wakagundua kumbe alikuwa mzuri baada ya kuwalinganisha. Kumbuka kinachoonekana zaidi ndicho watu hukitumia ktk kupimia, na katika muktadha wetu, watu wamewapima hawa wawili kwa kutumia madhaifu yao.

My take:
Endapo kama JPM ki-demokrasia/kisiasa, angekuwa kama JK na kiutendaji/kimaamuzi angebakia kama JPM. Hakika watu wasingemkumbuka JK kama ilivyo sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom